Kama kwel unawachukia walimu kotoka moyon usimpeleke mwanao shule. Pili walaumu sana wazaz wako walikulea vbaya haiwezekan ww ukawa tatzo kuanzia primary mpaka A level .ukawa ww ndo unaonewa tuu!! Hat mtaan utakua kero kwa familia ,jamii na taifa kwa ujumla.yaan mm naisi taifa Na familia yako wamepata hasara kua na mtu aina yako .siwez kunambia ubadilike maana haiwezekan kubadilika kama walim walikushidwa kuanzia primary mpka advance. May be ili jukumu wakabidhiwa magereza labda watawezaTo be Honest i hate teachers, kazi nzuri waliyofanya kwangu labda ni kunisahihishia mitihani yangu na kuniandika Jina katika school attendances zote na pia kutuma jina Necta.....ila katika Mafanikio yangu i wouldnt mention any Teacher!
Wengi waliniombea kufeli but it never happened nafikiri walitaka watu kama kina sisi tufeli wapate pa kutolea mf sunaona Fulani alifelii!
Nimeenda kuchukua vyeti vyangu O-level na Adv sikuwa na story na Teacher nikisemeshwa napigaa daash.....shida nyingi nilizopata katika Maisha yangu ya shule walimu walisababisha kwa kiasi kikubwa......sometimes wanaadhibu as if they have no kids!...
I HATE TEACHERS SINCE PRIMARY SCHOOL!
Nitasema nini kama uwezo wako wa kufikiri ni Mdogo kiasi Hiki?Kama kwel unawachukia walimu kotoka moyon usimpeleke mwanao shule. Pili walaumu sana wazaz wako walikulea vbaya haiwezekan ww ukawa tatzo kuanzia primary mpaka A level .ukawa ww ndo unaonewa tuu!! Hat mtaan utakua kero kwa familia ,jamii na taifa kwa ujumla.yaan mm naisi taifa Na familia yako wamepata hasara kua na mtu aina yako .siwez kunambia ubadilike maana haiwezekan kubadilika kama walim walikushidwa kuanzia primary mpka advance. May be ili jukumu wakabidhiwa magereza labda wataweza
Fresh ase ila usiwe Teacher Mnoko.....Nilipohitimu Advance nilitaka nikapige bsc physics+maths ......aaah ila kila mara nikikumbuka sikuvutiwa tenaUbaya wa kuchumkia mtu maumivu yake yanakurudia wewe mwenyewe unayechukia.
I am proud to be a teacher.
Unaweza kuelezea ticha mnoko yuko vipi ?Fresh ase ila usiwe Teacher Mnoko.....Nilipohitimu Advance nilitaka nikapige bsc physics+maths ......aaah ila kila mara nikikumbuka sikuvutiwa tena
hivi mnafaidika nini mnapomfukuza mtu shule? tena hata Necta asifanyeUnaweza kuelezea ticha mnoko yuko vipi ?
Maana nyie watoto mkiona mwalimu hasiye mfuatiliaji ndio mnamuona yuko poa hujui kwamba anayepata hasara ni wewe sio mwalimu