Condoms: What about Tanzania?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,013
Kenya bans 'leaky' condom brand

BBC News Online

_46363939_dsc_0571.jpg

Officials ordered lab tests on all imported condoms after a TV expose

Kenya has banned a brand of condoms weeks after Zambia did the same after tests concluded that they leak. The condom brand known as Hot, which is manufactured in the UK, featured in a Kenyan TV report where its strength was tested - and found wanting.

Officials announced the ban after their tests also revealed weaknesses.
The government, which gives out 160 million condoms each year, feared that stories about leaky condoms could damage its fight against HIV.

The BBC's Ruth Nesoba, in Nairobi, says there is a clear sense of anger among members of the public.

Almost 7% of the adult population are said to be living with HIV.

Prevention hampered
Nicholas Muraguri, head of the country's HIV/Aids control programme, says he will be conducting a study to see how the issue has affect people's confidence in condoms.

o.gif
start_quote_rb.gif
We are quite positive that we have caught up with a lot of the products
end_quote_rb.gif

John Wepukhulu
Kenya Bureau of Standards

"Those people who are using this particular brand of condoms are going to be very worried," he said.

Officials are attempting to reassure the public, saying that 95% of the condoms on sale meet standards set by the UN.

John Wepukhulu, who is in charge of quality at the Kenya Bureau of Standards, said the banned condoms were just one brand out of many on the market.

"We are quite positive that we have caught up with a lot of the products," he said.

Huge quantities of condoms are imported into Africa as part of Aids prevention campaigns.

But our correspondent says that several brands have been found to be faulty over the years, hampering prevention efforts and highlighting the need for better quality control.
 
Nadhani swali zuri la kuwauliza hawa wataalamu litakuwa "nani ka-aprove importation wakati hawajafanya conclusive tests?"
Lazima tuwe serious si ati tunangoja hadi watu wadhurika ndio tunaanza kuban vitu huku na kule.

Huko uingereza kwanini standards body yao ikaaprove manufacturing ikiwa quality yake ni mbaya?

Hizi serikali zetu jamani bado naona watu hawako serious, halafu na ikiwa zile sample waliprovide Kenya Bureau of Standards zilikuwa tofauti na zile wanamarket basi watu washitakiwe. huu mchezo wakubembelezana tuwache!
 
Watu wanavaa madaruga na kuingia uwanjani kupiga mechi wakijua wako salama salmini...kumbe! Hmmm haya mambo yanatisha na Bongo si ajabu hizi brand ziko belele.
 
State finds ‘Hot' brand too porous to use

By Elizabeth Mwai

The controversial Hot condoms brand has been banned after recording 100 per cent failure rate.

The condoms, which are manufactured by a UK based company Contempo, have been recalled following confirmed leakage tests by the Kenya Bureau of Standards (Kebs).
Kebs Chief Manager, Quality Assurance and Inspection John Wepukhulu, has directed retail outlets to remove the substandard product from their shelves immediately.

"Kebs inspectors will be carrying out market surveillance and any Hot brand condoms would be seized and the vendor prosecuted for offering a sub-standard product for sale," said Wepukhulu. Addressing the Press at Kebs headquarters, Wepukhulu said the Hot condoms did not comply with the Standards Authority requirement and thus the withdrawal.

The bureau is, however, not sure of the quantities of Hot condoms in the market, which retails at Sh200, and have embarked on a nationwide research to establish the volumes.
Furthermore, Wepukhulu said, they have a week to mop up this entire brand of condoms from the market. The importer will, however, not be stopped from continuing to supply other Contempo range of products like Rough Rider, Wet n Wild, Bareback, Power Play, Midnight, Endurance and King Size, which meet Kebs requirement.

"The importer's other products, which met the standard so it may not be wise to stop them," said Wepukhulu. But they have taken steps to ensure that all condoms in the market were tested and branded.

The condoms, Wepukhulu said, had been tested at the point of entry but they had found nothing wrong with them.

Kebs, he said, had received information from their Zambian counterpart and were investigating before the Kenyan media broke the news.

‘Hot' has been in circulation locally for the last one year.
 
Kwa maana nyingine waliotumia aina hizo za daluga ni kama vile walikula bila kunawa?
Inaonesha ni kwa jinsi gani serikari zetu hazipo makini na watu wake,kama ni suala la ubora lilitakiwa kuhakikiwa kabla ya kuziruhusu kutumika na raia wake wema.Ndo haya mambo ya kushindwa kujenga madaraja imara na mara ajari zikitokea eti tunaunda tume!
 
Ikiwa hio mipira imekua ikitumika kwa mzima na inahitilafu kama hii basi
kuna watu wameliwa na waanza kusali. Serikali zetu ndivyo zilivyo..hawajali
maslahi/maisha ya raia mpaka hapo alafu.
 
Kenya bans 'leaky' condom brand

BBC News Online

_46363939_dsc_0571.jpg
Officials ordered lab tests on all imported condoms after a TV expose

Kenya has banned a brand of condoms weeks after Zambia did the same after tests concluded that they leak. The condom brand known as Hot, which is manufactured in the UK, featured in a Kenyan TV report where its strength was tested - and found wanting.
Officials announced the ban after their tests also revealed weaknesses.
The government, which gives out 160 million condoms each year, feared that stories about leaky condoms could damage its fight against HIV.
The BBC's Ruth Nesoba, in Nairobi, says there is a clear sense of anger among members of the public.
Almost 7% of the adult population are said to be living with HIV.
Prevention hampered
Nicholas Muraguri, head of the country's HIV/Aids control programme, says he will be conducting a study to see how the issue has affect people's confidence in condoms.

o.gif
start_quote_rb.gif
We are quite positive that we have caught up with a lot of the products
end_quote_rb.gif

John Wepukhulu
Kenya Bureau of Standards

"Those people who are using this particular brand of condoms are going to be very worried," he said.
Officials are attempting to reassure the public, saying that 95% of the condoms on sale meet standards set by the UN.
John Wepukhulu, who is in charge of quality at the Kenya Bureau of Standards, said the banned condoms were just one brand out of many on the market.
"We are quite positive that we have caught up with a lot of the products," he said.
Huge quantities of condoms are imported into Africa as part of Aids prevention campaigns.
But our correspondent says that several brands have been found to be faulty over the years, hampering prevention efforts and highlighting the need for better quality control.

Walikuwa wapi muda wote huu?
Je wako tayari kulipa mabilioni ya fidia kwa waathirika??
 
Walikuwa wapi muda wote huu?
Je wako tayari kulipa mabilioni ya fidia kwa waathirika??

Bantugbro ,

hio ishu ya fidia nd'o imetoka. Wale walioambukizwa watakua na
kazi ngumu ya ku-prove the exact day,time,prostitute na condom
aliyotumia....jeweli hii kumbukumbu unaeza kua nayo baada ya siku
kibao za uzinzi?

Hapa mtu ametengeza hela kwa kuchezea maisha ya binadamu
wenzake na keshakula kona. Wlaiobaki kuathirika ni waafrika!
 
..je, hizi condoms ziko Tanzania?

..je, tunazipima mara kwa mara condom zinazoingizwa Tanzania?
 
TFDA: Watanzania msitumie kondom za Hot
Imeandikwa na Shadrack Sagati; Tarehe: 15th September 2009

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) imewashauri watanzania wasitumie kondomu ziitwazo Hot kwa kuwa haijathibitika kuwa ni salama kwa watumiaji.

Mamlaka za Kenya na Zambia zimepiga marufuku matumizi ya kondom hizo zinazodaiwa kutokuwa na ubora hivyo kuhatarisha usalama wa wanaozitumia.

TFDA imeamua kuanza kuzichunguza kondomu hizo zilizozua hofu kwa watumiaji baada ya kudaiwa kuwa zina matobo na kwamba, wananchi watafahamishwa matokeo ya uchunguzi huo.

Hot ni kondomu zinayotengenezwa nchini Uingereza.

“Tunawaomba watumiaji wa hizi kondomu waache kwa sasa wasubiri uchunguzi tunaofanya hadi tutakapojiridhisha ubora na usalama wa kondomu hizo,” amesema Afisa Uhusiano wa TFDA Gaudensia Simwanza.

Simwanza amesema leo kuwa,TFDA pia imeamua kuchunguza kondomu aina ya Contemto zinazotengenezwa nje ya nchi.

Kwa mujibu wa Simwanza, miongoni mwa kondomu zilizoko kwenye aina hiyo ni Rough Rider na Durex.

Amesema, bidhaa zote zinazoingiwa nchini huwa zinafanyiwa uchunguzi kuona ubora na usalama wake, lakini pia kunaweza kuwa na toleo lenye matatizo.

“Kondomu kama vifaa tiba wakati mwingine kunaweza kuwa na toleo ambalo lina matatizo, hivyo ni jukumu la mamlaka kujiridhisha baada ya kuona baadhi ya nchi jirani zinagundua matatizo hayo,” amesema.

Simwanza amesema hafahamu uchunguzi huo wa kimaabara utakamilika lini kwa kuwa suala hilo ni la kitaalamu.

Mamlaka za Kenya na Zambia zimezuia uingizaji na matumizi ya kondomu za Hot baada ya kuzichunguza na kubaini kuwa zina matobo hivyo hazina ubora na usalama kwa watumiaji.

Condom siyo kinga 100% kuna asilimia kama 20% za kuambukizwa pamoja na matumizi ya condom.

Njia pekee ya kuaminika ni ABSTINENCE
Mi nadhani ni kinyume chake... uhakika ni kuwa 80% kuambukizwa 20% usalama.
 
Back
Top Bottom