Condoms have to be taken off properly

Haki ya nan nimesoma tu tittle nikajua tu ni yule mdada toka kigali aliekuja dar kupitia ngara. Nikaita kamusi mpaka asaiv natafsiri, halaf wana jf tuache ubinafsi........ Si mcomment kiswahili hata nijue kasemaje tumsaidie mwenzetu atakua na shida, ila kwa kutabiri Nahisi anaomba ushauri wa kimapenz sasa sijajua kisa. Salamu kwa wale waliosoma ila hawajaelewa:-D;-), pongezi kwa wote walio elewa wakajarbu ku comment lakin vidole vikawa vinagongana juu ya keypad wakaamua kufuta na kuhamia kwenye likes:-D;-), shukran ziwaendee wote ambao hawajui hata lunga iliyotumika ila wakawa wa kwanza kuona neno condom na kufungua avatar ya mtoa post.
 
Is condom used during oral sex ? This is the first time i come across such a issue
 
There is a alot of emphasis on the three openings like its a guarantee/must!

I still dont understand why..
 
Hahahaha
 
in older [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] andika tu kiswahili mdada
 
From the vagina, anus or mouth ??

Mouth???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…