Condom za hot zina vitobo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Condom za hot zina vitobo

Discussion in 'JF Doctor' started by Mwana wa Mungu, Sep 14, 2009.

 1. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kondom za hot zilizopigwa marufuku kenya na zambia, zinauzwa hapa tz. nimeona kwenye taarifa ya habari leo asubuhi. mimi sijawahi kutumia kondom, kwasababu sihitaji, nina mke na watoto wetu manake. sasa kazi kwenu washabiki wa condoms, kwasababu kama mlishatumia, nasikia zina vitobo vinavyoingiza majimaji. kama kweli huo si mtandao wa shetani kuangamiza watu wanaofanya ngono, kutengeneza condom ni nini hiyo? mbona sasa wanatengeneza halafu wanaweka na vitobo ili ziingize majimaji ili mpate ukimwi zaidi|? bado tu mnaziamini kondom au mnaamini kwenye kusubiri na kuwa na mke mmoja kama mimi?
   
 2. GP

  GP JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  sasa kama wewe una mke, na sie tusiokuwa na wake wala kusubiri kunatushinda tufanyaje sasa, tuumie wakati wewe unafaidi??. Lol.
  ajali kazini hiyo bana.
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,013
  Trophy Points: 280
  Naamini Masanilo na Fidel80 hawajaiona hii thread. Inawafaa sana hii manake ndio fani yao.
   
 4. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hii kitu watu hata hawaongelei sana, kwasababu humu ndani kuna watu wengi sana wanaotumia kondom, lakini ni kwasababu hawajaoa kwahiyo ni malaya hivyo nimegusa kwenye kidonda, au ni kwasababu wameoa lakini wanatoka nje ya ndoa. nawashauri mkapime, kwasabbu inawezekana mmeshaukwaa tayari. rudini kwa Bwana mpone wajameni.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kama huta chubuka hamna noma
   
 6. B

  Bao3 JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 318
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yeah,mnafanya taratiiiiiiiib bila michubuano! Bila 69
   
 7. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Wewe si umesema ni bikra na hujui anything about sex umeyajuaje hayo?
   
 8. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  shetani anawatengenezea condom kwa mtego na ninyi mnatumia, kumbe mwenzenu anataka mufwe wote..hamjui kuwa hao wanaotengeneza condoms ni maajenti wa shetani?
   
 9. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,217
  Trophy Points: 280
  Watu waache Ngono,Condom si kinga zaidi ya virusi vya ukimwi ila kama hawasikii acha wapukutike ili ajira ziwe nyingi
   
Loading...