Condom no more huhu hu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Condom no more huhu hu

Discussion in 'JF Doctor' started by Janja PORI, Feb 12, 2012.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  wadau proffesa sousan wa Marekani pamoja na wenzake wa JOHN HOPSKN UNIVERSITY, wamegundua kuwa matumizi ya ARV yanaweza mfanya mtu mwenye HIV anayetumia ARV kusex na mtu asiye na HIV na asipate HIV.
  this means what? you can use ARV then ukaply safe kbsa.
  NOTE.Authorities for this is under author custody.

  pia maprof hao wamegundua kinga nyingne apart from ARV mpo hapoo wapenda ..
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mm! Maelezo zaidi tafadhali..
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  kapige peku ufe
   
 4. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kwa kweli ni gumu kidogo kuamini... labda ulete maelezo kwanza.
  halafu haya si ni kwa wale wanao jijua na kujitunza tayari?
  wengi hawajui status yao na hawako under arv
   
 5. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  yani wamegundua kutokana na tafiti zao kwamba kwa mtu aliyena virus na anatumia ARV anapokutan kimwili na mtu asiye na maambukizi si lazima kutumia kondomu wanaweza jamiiana bila kuambukizana. umensoma. kwahiyo arv unaweza tumia ka kinga unameza unaenda play game.
  swali ni kwamba hawa nani atakuwa mjasiriiu
   
 6. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  I concur with you mwali, swala ni kwamba si unajua kuna watu wanajua wameukwaa but wanaambukiza maksudi ? hii itapunguza maana kama mtu kaathirika na antumia arv na anaaka smbaza maksudi atashindwa.

  kingne ni kwamba watu watataka wameze ARV hata ka hawaumwi kusudi wajikinge
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  Mwali hata mimi sijaelewa ujue..kwa hio wanashauri watu wanywe arvs as an alternative ya condoms au nini?
   
 8. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,215
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  C walisemaga kama haunaga ngoma uctumiage ARV hatari kwa afya yako kulikoni leo?
   
 9. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  me nimeskiza habari bbc, so sijajua kama wanashauri bt nadhani wanato mwongozo kwamba iwepo watu wote wenye ngoma watatumia ARV kuakuwa hakuna maambukizo cz ARV ni kinga ndo wazungu hao
   
 10. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  la hasha bali wenye hiv watumie kusudi wakimit na negative wasipate
   
 11. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Na wala hakuna viashiria wala dalili zinazoonyesha kwamba wanataka kujua..so anayetaka kuyalenga maisha yake na risasi ajaribu aone nini itatokea mbele
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  nakutakia kuambukizwa kwema mleta mada......

  Maana ukifuatisha tu, itakula kwako!
   
 13. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #13
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  ngoja uanze kupata halucination za efavirenz ndo uone utamu wa dawa
   
 14. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #14
  Feb 12, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  mbadili tabia me nimeleta news mjadili haha ni tafiti za wenzetu ulaya bwana mpaka tbs ya bongo itamke japo me binafsi not into those stafffffffffffffs
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ndo usijaribu. Hayo mautafiti yao waachie wenyewe
   
 16. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #16
  Feb 12, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,424
  Likes Received: 3,786
  Trophy Points: 280
  Kuna siku mtakuja kutuambia tumeze kondomu
   
 17. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #17
  Feb 12, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ukikubali hii basi ni mipango ya Mungu.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Feb 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  guys, lets bring maturity to our lives, tusisifie sana kupiga peku in an era ambayo hata hizo studies hazijatekelezwa in large scale, achilia mbali adha nyingi kama magonjwa mengine ya zinaa, mimba zisizopangwa na uhakika wa 100% safety

  what about genetic variation?
   
 19. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #19
  Feb 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  hawa wazungu kuweni makini nao kwani wanaendelea kila siku kutafuta namna ya kupunguza idadi ya watu weusi.wanajua africa ndo imeathirika zaidi na hili gonjwa hivyo wanajaribu kuangalia ni namna gani tutaendelea kusambaziana virusi.huu utafiti sina imani nao
   
 20. Kitaja

  Kitaja JF-Expert Member

  #20
  Feb 12, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 2,686
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  kwa wasiopenda kutumia kondom nadhani hizo habari zinafurahisha kusikia. but kuweni makini isije ikawa njia ya kurahisisha vifo vya watu weusi ambao huathirika sana na H.I.V. licha ya kwamba wazungu wanaongoza kwa ufuska lakini athari zaidi ni kwa hii ngozi nyeusi!
   
Loading...