Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,311
- 37,077
Umewai kufanya kutafiti? Bull Ina flavor nzurii inatanuka imetengenezwa kwa ajir ya mijururu ya watu weusi (blacks)You choose the Bull condom, yet forsake the Rough Rider? Truly, is that your verdict?
Why bother with a condom when your Creator clearly designed you to go in raw, right?π€£Umewai kufanya kutafiti? Bull Ina flavor nzurii inatanuka imetengenezwa kwa ajir ya mijururu ya watu weusi (blacks)
Unajua rough rider kwenye mijururu minene minene na mirefu huwa ukitumia huto furahia tendo Mimi nimefanya tafiti kwenye Condoms zoteee eeee
Mkuu umewai kujaribu kutumia BULL CONDOMS?? UKA COMPARE NA ROUGH RIDER? NIPE UZOEFU WAKO
π I'm CCR5 homozygotes. Mimi pia ccr5Why bother with a condom when your Creator clearly designed you to go in raw, right?π€£
Were I to sheath desire, Trojan would be my armor of choice.
Yet I go unguarded not out of folly, but for I do not fear the shadows of HIV. I'm CCR5 homozygote.
Hail to you, fellow bearer of the CCR5 flame.ππ I'm CCR5 homozygotes. Mimi pia ccr5
Fanya tafiti ndogo kwenye matumizi Kati ya rough rider na BULL CONDOMS
Ntapenda unipe mrejesho π wako ndugu.
Bull is the best.
View attachment 3343119View attachment 3343121View attachment 3343122
P2 chap kabla zygote hajaanza kusumbuaNa kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika.
Acha unafikiπ π πView attachment 3342731Watoto ni baraka btw!!!
Huogopi ukimwi dogo?Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika.
Mimi nilisingiziwa na nimekubali. Nimeapa kwamba ninmwanagu na tutalea kwa shida na raha..hapa najitapa Nina kidume na sijawahi kukionaUnaogopaje mimba!!?yaani !!?hivi unaogopa mimba mwanamme kabisa !!?mimba ni mtaji,burudani,mashine,chereko,vifijo,nderemo,meremeta,mahabat!!
Mbona !!?jamani unaogopa nini!??
Hebu mkumbatie mchum halafu lopoka"zaa tu tutalea dear"!!huku ukitabasam more nanbuku Tano ya vocha!
Mimba ni asili,nature halisi,uthubutu!napenda Dem akiwa na mimba nyie,nikiwa mdogo nikiona Dem anamimba nilikua na disa Hadi Raha yaani nilikua nafikiria nimshindilie zaidi ili tumbo liwe kubwa zaidi ya hapo!!Utoto Raha sana!!
Chukua K vant nusu, Kiwingu nusu,na Double Kiki zote nusu Lita hlf changanya vizuri mpe kwa 1/3 kwa sik 5 utakuja kunishukuru baadaye!Na kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika.
Shock absorverNa kaniambia yupo kwenye siku za hatari, yaani hapa akili imezima mziki wa moyo ni singeli ,ushauri wenu ni msaada unaoitajika.
Kisu kimegonga mfupa!we kijana acha uropokaji π
Hahaaa andika tena shock absorberShock absorver
Mbona sijaona Salama na zile za Kwa hisani ya watu wa Marekani?Kwa utafiti wa kuuza dawa/ vifaa tiba research yangu kuhusu CONDOM nzurii
Ngoja niwape darasa wadau na wakitoka hapa wakafanye utafiti then waje kutupa mrejesho π
Imported condoms zipo nyingi Sana na Bei ZAKE ni tofauti tofauti.
Ntataja list ya condoms zinazo patikana nchini Tanzania kwa uchache pia ntatoa MUONGOZO WA ipo ni CONDOM nzurii
Rough rider
Dume
Kiss
Fiesta
Contempo brands ie. Kingsize, erotica, wet & wild, bareback, flavours, power play.
Moods
Life guard
BULL
E.T.C
ZIPO CONDOMS NYINGI SANA NA BEI TOFAUTI TOFAUTI
NB.
CONDOMS NZURII NA NZURI NI ""BULL CONDOMS"" BEI YAKE NI AFFORDABLE na hii ni nzurii Sana ni CHAGUO sahihi la condoms kwa raha na ulinzi mzuri wa kila kitu maana haibani na Ina vijipelepele na ipo natural NENDENI MKAIJARIBU NA MUJE MTOE MREJESHO /MUONGOZO
MSD ZILE ni cheap na sio Bora kabisaa pia hata ZILE condoms za wahisani wetu wafadhili a.k.a MABEBERU π sio nzuriiMbona sijaona Salama na zile za Kwa hisani ya watu wa Marekani?
Huwa Zina dunda, mie mwenye yalishanikuta kanywa lakini wapi ikanasaAtakua alikosea mahesabu. Wengi huwa wanakunywa tu hata hawajui zinafanyaje kazi.
Zile zinafanya kazi ikiwa ovulation haijafanyika bado, sasa wengi huwa wanabugi hapo wanakunywa tu.Huwa Zina dunda, mie mwenye yalishanikuta kanywa lakini wapi ikanasa
Oh! Zinahitaji elimu kumbe. Ndio maana mimba za bila kupanga zinaongezekaZile zinafanya kazi ikiwa ovulation haijafanyika bado, sasa wengi huwa wanabugi hapo wanakunywa tu.