Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,281
- 2,473
The world is full of secrets.... companies do terrible things to stay at profit...
Nimekaa nawaza makampuni yanayotengeneza condom lengo lao kuu ni kuuza kwa wingi wakijinasibu kuwa wanazuia maambukizi mapya kwa kiwango kikubwa....
Tumekuwa tukiambiwa tumia condom ili ujikinge na maambukizi ya HIV...
Sasa pata picha kuna kampuni ambayo yenyewe inaingiza faida kupitia kuuza ARV ina maana wao wanahitaji wagonjwa wengi zaidi wa hiv ili watengeneze pesa.....
What if hawa watu wameungana i mean wanaotengeneza condom wakituaminisha hatupati HIV huku wameingia mikataba na wauza ARV kuwa watengeneze condoms zinazozuia mimba tu but ziruhusu virusi vya HIV ili waathirika waongezeke na hivyo kupiga faida mara mbili....
Vuta picha hizi condom za misaada zinazotolewa africa ziwe zinaruhusu HIV kupenya makusudically ili waathirika waongezeke na mauzo ya ARV kupanda zaidi...
Sijui nani atasalimika