Wana jamvi..
Nimemaliza degree ya kwanza mwaka huu udsm, mwezi wa 8 nikajitosa kuomba chuo uk msc project management kwa mwaka wa masomo 2014 sept, wametaka doc zote nimekamilisha, jana wamenitumia email yao ya kunipa nafasi ya kusoma hiyo kozi..( condition offer ) kwa sharti la kufauru ielts paper kwa point at least 6.5.
Nisaidieni kwa mtu aliyewahi kupiga hizi paper, asilimia ya kufauru hizi ni kiasi gani?
Ngumu sana, kawaida au zikoje?

kwa kawaida huwa ni mtihani mzuri tu wenye sehemu nne za speaking,writting, listening na reading. Nakumbuka mm nilifanya huo mtihani mwaka 2011, na ilinichukua miezi mitatu ya kujiandaa kwa kujisomea katika library ya britsh council, kwa kweli ile library ni nzuri sana kwa ajili ya kujiandaa na huo mtihani, kwa kuwa resources zote zinapatikana, na hatimaye nilipta 6.5.
Kwa upande wangu, sehemu ambayo iliokuwa ngumu ni ya listening, kwa sababu pale british council huwa wanaweka speaker examination hall ambazo huwa hazisikiki vzur hivyo hulet SHIDA KWA WATAHINIWA kusikia.(Kwa mwaka huo niliofanya, sijui miaka ya karibuni).
Ukilinganisha na mitihani mingine kama TOEFL, wao wanakupa headphones kwa ajili ya listening test, nafikiri hili linasaidia sana
Kila la kheri katika maandalizia yako, na mungu akuwezeshe.