Rais wa Zimbabwe akihutubia Mkutano kwa wajumbe wa UN Jana ameziomba nchi za Marekani,Uingereza na marafiki zao kwa ujumla kuondoa vikwazo vya kiuchumi na fedha kwa Wazimbabwe wanaoumia kila kukicha kwa miaka 16 sasa.
Ametoa speech mzuri tu pamoja na umri mkubwa kwa dk 16
Ila wapate kiongozi mwingine wa nchi sasa.
Na bado!hatimae amefyata...
Yap hana jinsi Hata speech yake safari hii haikuwa tena na matusi wala ubabe tena.Amekubali yaishe eehh!! Kile kiburi chote this time ameomba yaishe! Aanze kukabidhi madaraka kabla hajafa kuepusha fujo! Aliemuandaa(ambae sio mkewe) aanze kumpa hayo madaraka imetosha sasa!!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] duh! Haka kamsemo ka "MapangaShaa" nakakuta sana humu leo..Hapa kwetu bado twajifanya jeuri
Kama Urusi alilia alipopigwa sanctions sembuse sisi MapangaShaa
Haaa mapanga shaaaaaa, kama mugabe kasalimu amri hakuna atakayeweza kujifanya mwambaHapa kwetu bado twajifanya jeuri
Kama Urusi alilia alipopigwa sanctions sembuse sisi MapangaShaa
"Baba mwenye nyumba anayehofia kupinduliwa na ndugu yake au mtoto wake hawezi kwenda safari za mbali na nyumba yake.."Nawaonea tamaa ambao nchi zao marais wametoa speech, general assembly! Sisi rais hataki kwenda mbali anahisi Upinzani utakuwa huru!
Chezea vikwazo weye?! Ameufyata sasa. Nchi haiendeshwi kwa kiburi, ubabe na maneno makali tu bali ni kwa mipango mahususi, umakini, ushirikishwaji wa umma na weledi wa hali ya juuRais wa Zimbabwe akihutubia Mkutano kwa wajumbe wa UN Jana ameziomba nchi za Marekani,Uingereza na marafiki zao kwa ujumla kuondoa vikwazo vya kiuchumi na fedha kwa Wazimbabwe wanaoumia kila kukicha kwa miaka 16 sasa.
Ametoa speech mzuri tu pamoja na umri mkubwa kwa dk 16
Ila wapate kiongozi mwingine wa nchi sasa.
"Baba mwenye nyumba anayehofia kupinduliwa na ndugu yake au mtoto wake hawezi kwenda safari za mbali na nyumba yake.."
Nawaza tu
Akha!! Kwani nimemtaja mtu hapo?U
Uchochezi!