Computer yangu yazingua

micky mouse

Senior Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
158
Reaction score
54
Salamu wana jf,computer yangu ilizimika ghafla nikiwa naangalia filamu kabla sijainuka umeme ukarudi tena na kuzima,sasa inawaka tu bila kuonesha window shida ninini hapo.
 
Je ni model gan, na sasa inawaka vizuri but hai display?
 
bado inawaka tu haioneshi kitu zaidi ya monitor inawaka na kama inaload window alafu inazima na kuanza tena,model CPU NI TSUNAMI NA MONITOR SAMSUNG.....
 
Nisaidieni na mie yangu haijawaka ina mwezi na zaidi,
Nilitafuta Fundi humu Mawasiliano yakapotea .
Nilivyouliza nikaambiwa shida ni windows tu manake ilianza kukataa kuonesha background kisha ikaacha kudisplay chochote ila inawaka.
Kama kuna Mtu anaweza nisaidia please
 

kam ni window I can help you...0767879784
 
Salamu wana jf,computer yangu ilizimika ghafla nikiwa naangalia filamu kabla sijainuka umeme ukarudi tena na kuzima,sasa inawaka tu bila kuonesha window shida ninini hapo.

piga window chini mkuu.
 

ok nicheki 0784234391
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…