Salamu wana jukwaa! nina pc aina ya acer inatumia windows 7 32bts sas wiki hii tangu ianze kunamweng amekuw akitumia kwa mambo ya kitaaluma lakn leo nilipowasha inagoma na kuonyesha kuwa ina road files badaye inajarb kurepair lakin bila mafanikio! naomba msaada!