Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 5,079 Reaction score 9,315 Oct 1, 2020 #1 Kwema wakuu. Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie . Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate.. Hakuna kinachofunction . Chief-Mkwawa
Kwema wakuu. Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie . Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate.. Hakuna kinachofunction . Chief-Mkwawa
Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 5,079 Reaction score 9,315 Oct 1, 2020 Thread starter #2 LALIKA NICOLAUS Hazchem plate
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,225 Reaction score 44,214 Oct 1, 2020 #3 Use brain Heriel said: Kwema wakuu. Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie . Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate.. Hakuna kinachofunction . Chief-Mkwawa Click to expand... umejaribu kutoa battery na kuwasha na adapter?, kama ina ram mbili jaribu kuwasha na ram moja moja. pia hakuna mlio wowote unaotokea?
Use brain Heriel said: Kwema wakuu. Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie . Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate.. Hakuna kinachofunction . Chief-Mkwawa Click to expand... umejaribu kutoa battery na kuwasha na adapter?, kama ina ram mbili jaribu kuwasha na ram moja moja. pia hakuna mlio wowote unaotokea?
Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 5,079 Reaction score 9,315 Oct 1, 2020 Thread starter #4 Chief-Mkwawa said: umejaribu kutoa battery na kuwasha na adapter?, kama ina ram mbili jaribu kuwasha na ram moja moja. pia hakuna mlio wowote unaotokea? Click to expand... Hakuna mlio wowote mkuu. Pia Ina ram moja na ni desktop computer
Chief-Mkwawa said: umejaribu kutoa battery na kuwasha na adapter?, kama ina ram mbili jaribu kuwasha na ram moja moja. pia hakuna mlio wowote unaotokea? Click to expand... Hakuna mlio wowote mkuu. Pia Ina ram moja na ni desktop computer
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,225 Reaction score 44,214 Oct 1, 2020 #5 Use brain Heriel said: Hakuna mlio wowote mkuu. Pia Ina ram moja na ni desktop computer Click to expand... kama ni desktop umefungua uka hakiki fan halizunguki? kama hakuna beep yoyote mkuu linaweza kuwa tatizo kubwa. kama una uzoefu kidogo fungua hakiki kitu kimoja kimoja, pin za power supply, socket ya processor, kama kuna vumbi vumbi safisha etc.
Use brain Heriel said: Hakuna mlio wowote mkuu. Pia Ina ram moja na ni desktop computer Click to expand... kama ni desktop umefungua uka hakiki fan halizunguki? kama hakuna beep yoyote mkuu linaweza kuwa tatizo kubwa. kama una uzoefu kidogo fungua hakiki kitu kimoja kimoja, pin za power supply, socket ya processor, kama kuna vumbi vumbi safisha etc.
Light Saber Imetosha Sasa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2017 Posts 5,079 Reaction score 9,315 Oct 1, 2020 Thread starter #6 Chief-Mkwawa said: kama ni desktop umefungua uka hakiki fan halizunguki? kama hakuna beep yoyote mkuu linaweza kuwa tatizo kubwa. kama una uzoefu kidogo fungua hakiki kitu kimoja kimoja, pin za power supply, socket ya processor, kama kuna vumbi vumbi safisha etc. Click to expand... Ndiyo mkuu nimehakiki.. Fan hazizunguki
Chief-Mkwawa said: kama ni desktop umefungua uka hakiki fan halizunguki? kama hakuna beep yoyote mkuu linaweza kuwa tatizo kubwa. kama una uzoefu kidogo fungua hakiki kitu kimoja kimoja, pin za power supply, socket ya processor, kama kuna vumbi vumbi safisha etc. Click to expand... Ndiyo mkuu nimehakiki.. Fan hazizunguki
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Oct 1, 2020 #7 Ni computer aina gani? Model gani? Hiyo power button inawaka rangi gani? Na inawaka tuu au inablink?
Cryptographer JF-Expert Member Joined Aug 2, 2021 Posts 376 Reaction score 737 Aug 17, 2021 #8 Parabuthus Transvaalicus said: Kwema wakuu. Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie . Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate.. Hakuna kinachofunction . Chief-Mkwawa Click to expand... Inawezekana power adopter haipeleki moto, jaribu nyingine kwanza
Parabuthus Transvaalicus said: Kwema wakuu. Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie . Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate.. Hakuna kinachofunction . Chief-Mkwawa Click to expand... Inawezekana power adopter haipeleki moto, jaribu nyingine kwanza