...Ile button ya kuwashia inawaka na kuzima,pia computer yenyewe inatao muungurumo mkubwa Kama gari yenye mzigo inavyopata shida kupanda mlimani, msaada waungwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Check RAM kama zimekaa sawaIle button ya kuwashia inawaka na kuzima,pia computer yenyewe inatao muungurumo mkubwa Kama gari yenye mzigo inavyopata shida kupanda mlimani, msaada waungwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimehamisha ram ya kwanza nimeweka mwishoni ya mwishoni nimeiweka mwanzoni ,inawaka fresh ila baada ya masaa mawili inazima yenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidieni laptop yangu dell nashida! Haiwaki kabisa! Ilianza hivi, Hii laptop betri ilikufa kitambo nkawa naitumia direct kwenye umeme bado ikafanya kazi kwa miez kadhaa baada ya hapo ikashndwa kufnya kazi nkawa mpka nachomoa betri naunga kwenye umeme napgia kaz hvovho kwa miez kadhaa nako ikalemewa ndo ikawa haiwaki kabisa! Leo nmeweka betri mpya kwenye laptop nkaichaji kwa masaa kam 3 hv, kuiwasha laptop haiwak, Je naweza nkawa nimeua kfaa chochote kwenye laptop am shda nini?Ile button ya kuwashia inawaka na kuzima,pia computer yenyewe inatao muungurumo mkubwa Kama gari yenye mzigo inavyopata shida kupanda mlimani, msaada waungwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo Dar nenda Madukani ya round about pale uhuru wanapouza spea za tv na radio ulizia heat sink compound utapata Bei haizidi 3000 ni grade C nadhani ukitaka yenyewe agiza nje
KVD posta