Laptop city, wapo Moroco kituo Cha mwendokasi na mjini samora kwenye lile jengo la kioo Kama limepinda nimesahau mtaa,
Freedom computers wapo jmall
Kwa accessories nafikiri kvd wapo vizuri zaidi wapo makunganya mjini.
Kuna capricon morogoro road karibu na mwendokasi ya kisutu, Wana website pia
www.computer.co.tz
Japo Wana vitu vingi rare ambavyo Ni Ngumu kuvipata maduka ya kawaida jiandae kisaikolojia kwa Bei zao.
Kwa vitu used cheki kaale computers kariakoo mtaa wa likoma wanaangalizana na kanisa la KKKT.