Kiramamoshi2019
Member
- Jun 12, 2019
- 6
- 0
Natafuta Wauzaji wakubwa wa computers na Vifaa Vyake hapa tanzania naweza kuwapata wapi Na Ofisi zao Zipo wapi kwa Hapa Dar es salaam
Ukubwa wa scale gani mkuuNatafuta Wauzaji wakubwa wa computers na Vifaa Vyake hapa tanzania naweza kuwapata wapi Na Ofisi zao Zipo wapi kwa Hapa Dar es salaam
Kumbuka Me Pia Ni mfanyabiashara Nahitaji kuchukua kwa Bei za Jumla Na mimi nikauze piaLaptop city, wapo Moroco kituo Cha mwendokasi na mjini samora kwenye lile jengo la kioo Kama limepinda nimesahau mtaa,
Freedom computers wapo jmall
Kwa accessories nafikiri kvd wapo vizuri zaidi wapo makunganya mjini.
Kuna capricon morogoro road karibu na mwendokasi ya kisutu, Wana website pia
www.computer.co.tz
Japo Wana vitu vingi rare ambavyo Ni Ngumu kuvipata maduka ya kawaida jiandae kisaikolojia kwa Bei zao.
Kwa vitu used cheki kaale computers kariakoo mtaa wa likoma wanaangalizana na kanisa la KKKT.
Mzigo ninaohitaji ni wa Jumla ambao ni zaidi ya Mil 10Ukubwa wa scale gani mkuu
Kama Ni mfanya biashara achana nao mkuu, Hakuna hata mmoja hapo ukimtoa kaale ambaye atakuuzia kwa Bei utakayocompete.Kumbuka Me Pia Ni mfanyabiashara Nahitaji kuchukua kwa Bei za Jumla Na mimi nikauze pia
Daah Nikipata Hiyo Connection itakuwa Njema Zaidi sasa Sijui nayapataje hayo maduka ya Wasomali na wahindiKama Ni mfanya biashara achana nao mkuu, Hakuna hata mmoja hapo ukimtoa kaale ambaye atakuuzia kwa Bei utakayocompete.
Kama unatafuta low price unahitaji connection zaidi, Hapa mjini Kuna maduka ya wasomali na wahindi Sana Sana, na Ni Ngumu kukupa wewe Bei nzuri ucompete nao.
Otherwise na wewe ujidumbukize kwenye wimbi la uuzaji wa accessory za kichina ambazo zinahitaji roho Ngumu na kipaji Cha utapeli.
Mkuu anayeuza hawezi kukusaidia, hapo unatakiwa mwenyewe akili ifanye kazi.Daah Nikipata Hiyo Connection itakuwa Njema Zaidi sasa Sijui nayapataje hayo maduka ya Wasomali na wahindi
kama unamtaji wa zaidi ya mil 10 kwanini usifanye utaratitibu wa kuimport mwenyewe kutoka njeMzigo ninaohitaji ni wa Jumla ambao ni zaidi ya Mil 10