Computer Screen inadisplay Tofauti

Computer Screen inadisplay Tofauti

Singwa

Member
Joined
May 26, 2011
Posts
65
Reaction score
25
Wakuu,

Screen yangu inadisplay rangi kama njano fulani hivi. Hali hii inasababisha macho kuumia wakati wa kutumia computer. Nifanyeje kutatua tatizo? Msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vga cable ime loose either nyuma ya monitor au kwenye cpu fanya kukaza tu itakaa sawa
 
Vga cable ime loose either nyuma ya monitor au kwenye cpu fanya kukaza tu itakaa sawa
Daaaah asante mkuu. Naona inablink blink lakini inaleta rangi halisi kwa mbali. Ngoja nikaze VGA cable

Asante sana m2mavi2
 
Back
Top Bottom