Computer science and computer enginering

Computer science and computer enginering

babumufty

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2011
Posts
223
Reaction score
77
Nahitaji msaada wenu kujua kati ya computer science na comp enginering whing is the best kwa wale wa2 wa comp geeks,then chuo kipi ni bora kwa hapa bongo kwa hzo facult
 
Not always udsm ....kuna dit..st joseph ya dar...kama umesoma pcm au pgm nenda comp engineering kwan hata hiyo computer science imemezwa humo!!
 
Nahitaji msaada wenu kujua kati ya computer science na comp enginering whing is the best kwa wale wa2 wa comp geeks,then chuo kipi ni bora kwa hapa bongo kwa hzo facult

mdau vp mambo yanakwendaje
 
Dogo "mbuzi Na Kuu" una presha sana mdogo wangu, mpaka unaamua kufufua nyuzi za zamani! wewe sasa huna jinsi, kasome tu hyo c.science. utaangaika kweli kudili na hawa watu
cna aman kk mm naona kama vp nisiende kabisa nipige kaz nipate mkwanja niende zangu clinical officer japo mambo ya utabibu hayako moyon kikubwa nipate tu mkwanja na uhakika wa ajira
 
Fanya computer engineering wewe, usikariri kuajiriwa, jipe mwenyew uwezo wa kutengeneza kazi yako.
 
Weweee piga shule mkwanja baadae ukiachishwa kazi utaanza kuangaika babake teena utakuta watu wana degree zao wanataka kazi kwa nguvu zote
cna aman kk mm naona kama vp nisiende kabisa nipige kaz nipate mkwanja niende zangu clinical officer japo mambo ya utabibu hayako moyon kikubwa nipate tu mkwanja na uhakika wa ajira
 
kuna coz inaitwa computer engineering and information technology ipo hpo......vip ipoje kwa hcho chuo...
 
Back
Top Bottom