Computer repair and maintenance, Gongo la Mboto

Heri lee

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
981
Reaction score
538
Tunafanya repair za Laptop na Desktop zenye matatizo mbalimbali na kurudia hali yake ya kawaida;

Motherboard repair - tunafanya repair ya chip mbalimbali zilizokufa kwenye motherboard, diodes, power diodes, power unit, power qubic, resistors, transistors, na kadhalika.

Desktop power supply repair - Pia tunafanya repair za power supply za desktop zilizokufa components mbalimbali kama capacitors, transistors, regulators, fuse, AC

Laptop adapter repair

Modem unlocking / flashing - Hii itakuwezesha kutumia line yoyote katika modem yako ie Vodacom, Tigo, Airtel

Desktop display - tunafanya repair za display za desktop zilizokufa, na kurudia hali yake ya kawaida.

Windows / Programs / Antivirus installation.

tupo kariakoo, msimbazi police.

Contacts: 0787353328.
 
Heri lee

Laptop yangu ni Toshiba Satellite C850-F03A, imeungua USB controller chip, hivyo USB ports zote hazifanyi kazi. Nilionana na fundi mmoja, yeye aligundua tatizo ila tukakosa spare. Alisema inahitaji chip kama hii iliyopo kwakuwa haziingiliani na laptops nyingine za Toshiba. Unaweza pata hiyo chip?
 
Last edited by a moderator:

ndio mkuu huyo usb chip ipo naweza kukufanyia repair mara moja.
 
welcome, kwa sasa nipo kariakoo msimbazi
 
Samahani, ila mafundi wengi wa laptop hasa motherboard ni wababaishaji. Wengi wako poa kureplace vioo. Laptop yangu ikiharibika motherboard, wala sipotezi hela yangu kui-repair. Naenda iuza spare parts. Natumai wewe si mmoja wapo! Asante kwa kutujuza.
 
ndio upo sawa, mostly hawana uelewa wa kurepair na kupima na kusoma motherboard point to point, tunatofautiana, mimi hua napima motherboard path zote siyo wale mafundi wa ku-replace na kukudanganya motherboard imekufa kumbe inahitaji ku-fanya repair ya vitu vidogo kama capacitors, transistors, pu,pd, n.k..
 
Tunafanya repair za Laptop na Desktop zenye matatizo mbalimbali na kurudia hali yake ya kawaida;

Motherboard repair - tunafanya repair ya chip mbalimbali zilizokufa kwenye motherboard, diodes, power diodes, power unit, power qubic, resistors, transistors, na kadhalika.

Desktop power supply repair - Pia tunafanya repair za power supply za desktop zilizokufa components mbalimbali kama capacitors, transistors, regulators, fuse, AC

Laptop adapter repair

Modem unlocking / flashing - Hii itakuwezesha kutumia line yoyote katika modem yako ie Vodacom, Tigo, Airtel

Desktop display - tunafanya repair za display za desktop zilizokufa, na kurudia hali yake ya kawaida.

Windows / Programs / Antivirus installation.

Tupo Gongo la Mboto,

Contacts: 0762-647575.

mkuu laptop yngu ni aina ya samsung, tatizo lake ukiiwasha inawaka na feni inazunguka ila hai display kwnye kioo, ukiikomalia sana inawaka na ina display ila ukianza kuitumia tu display inakata na screen inaingia kiza
 
kama upo dar nione problem ipo kwenye motherboad, naweka kukutengenezea fresh also ungenipa na model yake.coz hiyo problem nimeshakutana nayo several times kwenye samsung.
 
Mimi laptop ya kwangu ni sony VAIO, ina matatizo ya inverter kwa hiyo screen yake haionyeshi vizuri, unazo inverter za VAIO?
 
Back
Top Bottom