Nimechagua kozi ya information technology nipo chuoni tayari lakini nakutana na changamoto ya hesabu,hesabu ndio somo pekee lilikua likinitoa jasho o-level marks ya juu kabisa niliyowahi kupata maishani mwangu ktk somo hili ni D pindi nipo form 3,lakini bila kutegemea nimelikuta tena na chuoni,
Nifanye nn maana semester ya kwanza tu mtihani wa mathematics nimepata zero,na ICT naipenda sana