Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,861
- 2,099
Hallo umenistua ebu niweke sawa kama hutajali.Nina Pc Lenovo i7, yenye Graphics Card ya 4 GB na Acer i5 yenye GB 2 za graphics Card ila nimebaki nashangaa nikaona ngoja niwacheck wataaamu wanisaidie.
Kifupi Preject ambayo nairender kwa masaa mawili huku kwenye i7, kwenye hii i5 Natumia dk 5! nimebaki nashangaa na kujuliza tatizo liko wapi kwenye hii i7!
Natumia Window 10,Hallo umenistua ebu niweke sawa kama hutajali.
Software unayotumia kurender
RAM ?
Graphics card aina gani
Urefu wa timeline
Na je ni 1920x1080 ?
Nauliza sababu dak 5 sio kawaida
Thanks man Graphics card hiyo ni ya kuongeza ama imekuja nayo na Ram unapendekeza ngapi ? Umesahau taja hapoNatumia Window 10,
Adobe Media Encoder kwa After Effect na Premiere
Graphics card Ni Intel(R) HD Graphic 4600
Yah, Narender 1920x1080 Muda wote
Naweza Render Hadi 20 Minutes (timeline) kwa DK 15 hadi 20
Graphics Card ni ya kuja nayo ram niliongeza 4GB jumla ni 8GBThanks man Graphics card hiyo ni ya kuongeza ama imekuja nayo na Ram unapendekeza ngapi ? Umesahau taja hapo
Hiyo kali sana kama mimi hagusi mtuGraphics Card ni ya kuja nayo ram niliongeza 4GB jumla ni 8GB
Aisee kwa hiyo hii i7 iko poa? maana nilijua mbovu!!Hiyo kali sana kama mimi hagusi mtu
Mi naona sio mbovu 1920 x 1080 sio mchezoAisee kwa hiyo hii i7 iko poa? maana nilijua mbovu!!
zote ni desktop mzeeInaweza kuwa i7 lakini ikawa ni generation ya zamani kuliko hiyo ya i5, halafu je hizo zote ni desktop au laptops?
Sent from my Siemens c55
Taja generation zao please!zote ni desktop mzee
fanya system rating kwa PC zote 2 then angalia matokeo
nenda Control Panel > System and Security >System
select Windows Experience Index, then run assessment, tulia italeta majibu
then angalia nani ana Index kubwa ( au chukua wastan wa indices zote)
Iyo assessment inachambua overall performance ya PC kwa vipengele ivi:
a.Overall calculations per seconds ( CPU )
b. Memory operations per second ( RAM)
c. Graphics (General Purpose performance)
d. Gaming Graphics (3D/Games)
e . disk data transfer rate ( read/write) ( HDD/SSD )
kitu kama ichi
View attachment 1349340
ivi kwa Graphics Card za Nvidia Ni Nvidia Gani Nzuri kwa Kazi kama za Photoshop/Creative Cloudsfanya system rating kwa PC zote 2 then angalia matokeo
nenda Control Panel > System and Security >System
select Windows Experience Index, then run assessment, tulia italeta majibu
then angalia nani ana Index kubwa ( au chukua wastan wa indices zote)
Iyo assessment inachambua overall performance ya PC kwa vipengele ivi:
a.Overall calculations per seconds ( CPU )
b. Memory operations per second ( RAM)
c. Graphics (General Purpose performance)
d. Gaming Graphics (3D/Games)
e . disk data transfer rate ( read/write) ( HDD/SSD )
kitu kama ichi
View attachment 1349340
1. Hio ni xeon na sio i7
Windows 10 haina WEI, labda kwa third party apps.fanya system rating kwa PC zote 2 then angalia matokeo
nenda Control Panel > System and Security >System
select Windows Experience Index, then run assessment, tulia italeta majibu
then angalia nani ana Index kubwa ( au chukua wastan wa indices zote)
Iyo assessment inachambua overall performance ya PC kwa vipengele ivi:
a.Overall calculations per seconds ( CPU )
b. Memory operations per second ( RAM)
c. Graphics (General Purpose performance)
d. Gaming Graphics (3D/Games)
e . disk data transfer rate ( read/write) ( HDD/SSD )
kitu kama ichi
View attachment 1349340
Hata mie nimeshangaa kwa nini alisema ni core i71. Hio ni xeon na sio i7
2. Hio xeon ni ya mwaka 2009 enzi za core 2 duo, hivyo core zake ni dhaifu compare na i5 ya gen ya 4 iliotoka 2013
3. Xeon hazina integrated graphics wakati intergrated graphics ya hio i5 ina quicksync, kutegemea na software quicksync inaweza punguza render time kwa kiasi kikubwa.
Hata win 8.1.Windows 10 haina WEI, labda kwa third party apps.
Ooh okay. Ngoja niifanyie kazi.Hata win 8.1.
Nimejiongeza. Nimetype
Kwenye Cmd
Winsat formal -resart
Ikatembea kitambo halafu lile file la notepad fungualia kwenye Chrome au explorer.
File lake utalipata folder ya windows subfolder peformance angalia tarehe kupaya fail la mida hiyo
Maandishi kibao ukiwa makini utaiona.