storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,544
- 1,874
Thanx hii nimejifunza kitu kuhusu windows 10Uki hibernate computer chochote kilichopo kwenye RAM kinahamishwa kwenda kwenye hard disk, kumbuka RAM ni short term memory. Ukiherbate compute unaweza chomoa hata cable na bado ukaendelea ulipoishia. So jibu lako ni ndiyo unaweza badilisha RAM yote na ukaendelea palepale. Ukiwasha computer kilichokua saved kwenye disk kinakua loaded back into RAM. Ukibadilisha hard disk lakini hupati kitu.
Inabidi ujue pia kua Windows 10 kama una latest updates huitaji hibernation, ukishut down ukawasha unaendelea palepale ulipoishia, inarecover apps zote zilizokua open, mfumo kama wa macOS tu.
Kitufe cha kuwashia(ama led ya power) kinawaka rangi ya orange.wakuu samahan kwa kuleta swali lingine tofaut na Mada Nina computer window 7 haileti moto nikiiwasha feni inazunguka kisha inazima nini yaweza kuwa tatizo storyteller Graph Kang
Nina render clip ya masaa ma3, so kwa kuwa uwezo wa computer yangu sio mkubwa sana inachukua muda mrefu, na huku kwetu umeme kuna wakat unapungua ama kukatika.Nadhani utapoteza data, kitu gani unafanya ambacho hakiwezi kuwa saved? utapata ujumbe kama
Your system's memory configuration has changed since it entered hibernation. If you proceed, the data needed to resume from hibernation will be lost. To preserve this data, turn off the system power, restore the orginal memory configuration and reboot the system. Otherwise, press to delete restoration data and proceed to system boot menu.
kama una cpu za intel kuanzia Gen ya 2, tumia quicksync ita render upesi upesi kuliko kutumia software (cpu) au Gpu za dedicated.Nina render clip ya masaa ma3, so kwa kuwa uwezo wa computer yangu sio mkubwa sana inachukua muda mrefu, na huku kwetu umeme kuna wakat unapungua ama kukatika.
Naomba elimu hapa, quicksync ni software au technic.?kama una cpu za intel kuanzia Gen ya 2, tumia quicksync ita render upesi upesi kuliko kutumia software (cpu) au Gpu za dedicated.
ni feature ipo ndani ya cpu/igp za intel kuanzia gen ya pili, unahitaji video editor inayokubali quicksync. mfano wa hizo video editor ni kama cyberlink powerdirector, pinnacle na magix video pro, sema utahitaji version za karibuni za hizo software.Naomba elimu hapa, quicksync ni software au technic.?
Ingawa hizo nyingene nazijua ila sijawah tumia zaidi ya adobe, lkn nitafanya research namna na kuifanyia kazi, na kama unaweza naomba procedure kwa kutumia cyberlinkni feature ipo ndani ya cpu/igp za intel kuanzia gen ya pili, unahitaji video editor inayokubali quicksync. mfano wa hizo video editor ni kama cyberlink powerdirector, pinnacle na magix video pro, sema utahitaji version za karibuni za hizo software.
download trial yao hapa ya siku 30Ingawa hizo nyingene nazijua ila sijawah tumia zaidi ya adobe, lkn nitafanya research namna na kuifanyia kazi, na kama unaweza naomba procedure kwa kutumia cyberlink
Basi subiri tu iishe ndo ufanye upgrade, sidhani kama RAM upgrade itabadili sana rendering speed.Nina render clip ya masaa ma3, so kwa kuwa uwezo wa computer yangu sio mkubwa sana inachukua muda mrefu, na huku kwetu umeme kuna wakat unapungua ama kukatika.
Pamoja mkuu acha nichekKitufe cha kuwashia(ama led ya power) kinawaka rangi ya orange.
Kama ndio cheki kwanza na umeme yawezekana ni mdogo (power surge)
Hardware ya quicksynk? Em nipe mwanga hapa tafadhali.download trial yao hapa ya siku 30
PowerDirector 16 Free Trial Download | CyberLink
matumizi yake sio magumu, kama umeshatumia premiere haitakushinda hii.
unaweza dumbukiza video hata ya nusu saa kisha jaribu kui render, kwa chini utaona button ya quicksync, itick hio button.
ila kumbuka ni mpaka uwe na hardware ya quicksync, kama huna haitakusaidia kitu.
inakuwa ndani ya cpu za intel kuanzia sandy bridge (gen ya pili) mpaka kabylake refresh/cofee lake (gen ya 8)Hardware ya quicksynk? Em nipe mwanga hapa tafadhali.