The_Emperor
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 871
- 125
Jamani nauliza hivi kwa aliyesomea computer engineering anaweza kupata kazi sehemu au kampuni gani?
kichwa na mwili wa thread yako haviendani hata chembe....una maanisha nini....?
Halafu eti mtu kama huyu hapa ndio anamshawishi muajiri ampe ajila!!......labda kazi ya kulinda mageti, dunia ya leo kama Communication skills inakushinda basi hata uwe msomi vipi hatokuwa na tofauti na yule Mbunge wa CUF Mwalusamba.kichwa na mwili wa thread yako haviendani hata chembe....una maanisha nini....?
mbona unatupotezea muda wetu hapa? kwa nini unaweka heading ya udanganyifu? kwani ungeliweka ya ukweli unadhani usingelijibiwa au watu wasingelisoma thread yako?Jamani nauliza hivi kwa aliyesomea computer engineering anaweza kupata kazi sehemu au kampuni gani?
Jamani nauliza hivi kwa aliyesomea computer engineering anaweza kupata kazi sehemu au kampuni gani?
kichwa cha habari kama hicho kinavutia watu,au hujui jinsi ya kuwateka watu?
Waajiri wengi wanaamini Engineering ni Civil, Electrical/Electronics na Mechanical and the like. Hizo za kupatia kwenye meza mbele ya computer are not considered as Engineering. Sema kazi ya computer support, kutandaza network cables, kuconnect mouse, kupita chini ya meza etc
ndugu mbona hapo nimeshindwa kukufahamu? kupatia kwenye meza ndio nini? unaposema not considered as engineering, ni nani hao wanao consider hivyo? unasema hayo kwa jinsi ya level ya matumizi ya computer system nchini Tanzania au ulimwenguni kote? Jee umewahi kuangalia maana ya Computer systems engineer? Jee unajua kuwa computer engineer ana research, design, develop, test, and oversee the manufacture and installation of computer hardware, including computer chips, circuit boards, computer systems, and related equipment such as keyboards, routers and printers?
Duniani kote wanajulikana kama ni computer systems engineers, kwa nini wewe unakataa kuwa hawa sio engineers?

Kaulize Engineers Registration Board watakupa majibu who is an engineer.