Diesel generator
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 706
- 663
Desktop tatu inaitajika, yenye flat monitor. Upo wapi? Nipe bei yako.
Morogoro mjini bei kuanzia 250000 hadi 500000 njoo inbox 0625674733 nikupe specificationsDesktop tatu inaitajika, yenye flat monitor. Upo wapi? Nipe bei yako.
Unaonaje na hichi ulichoandika ukakifuta ili umtumie huko inbox?Morogoro mjini bei kuanzia 250000 hadi 500000 njoo inbox 0625674733 nikupe specifications
ninazo tano mpya toka USA. Monitor flat.CPU ya kulala ram 2 gb,hard disk 160 gb,dvd writer(mlango wa cd) ,key board na mouse .bei tzs 250,000/- @ .picha nashindwa pandishwa hapa, piga 0713-039875Desktop tatu inaitajika, yenye flat monitor. Upo wapi? Nipe bei yako.
Acha dharau bas na biashara za watu OKUnaonaje na hichi ulichoandika ukakifuta ili umtumie huko inbox?
Computer zetu ni za kisasa kabisa unapewa na warrantMorogoro mjini bei kuanzia 250000 hadi 500000 njoo inbox 0625674733 nikupe specifications
Hakuna anaekudharau labda kama unataka kumtapeliAcha dharau bas na biashara za watu OK
We are the company bro vitu vyetu vya uhakika kama umezoea kutapeli watu ni wewe. Karibuni wadau kwa kompyuta aina zote na accessories na spares zake zoteHakuna anaekudharau labda kama unataka kumtapeli
Sasa kama ni kampuni kipi kinachokizuia kuweka bei kila mtu ajue?We are the company bro vitu vyetu vya uhakika kama umezoea kutapeli watu ni wewe. Karibuni wadau kwa kompyuta aina zote na accessories na spares zake zote
Mkuu akikujibu hili swali ni tag pleaseSasa kama ni kampuni kipi kinachokizuia kuweka bei kila mtu ajue?
OK bei hizi hapaSasa kama ni kampuni kipi kinachokizuia kuweka bei kila mtu ajue?
Na laptops pia zipo bei kuanzia 280000OK bei hizi hapa
HP and dell desktop i5 500 4 GB sh 500000
HP desktop DualC 250 2gb tsh 250000
HP desktop dualc 250 4Gb tsh 300000
Hp desktop dual c 500 4gb tsh 350000
Dell CPU HDD 250 ram 2 GB 250000
Pia tunaprint posters brochures T-shirts, kadi za biashara stickers nk tunatengeza websites na software karibu sana tukuhudumieNa laptops pia zipo bei kuanzia 280000
Umeona mzee hatubahatishi karibu tukuhudumieMkuu akikujibu hili swali ni tag please
Kumbe ndio maana ulikua unataka aje inbox ili umpigeNa laptops pia zipo bei kuanzia 280000
Hapana mzee inbox ningemtumia picha za posters zetu zenye bidhaa na specifications wala asiwe na wasiwasi we are very serious na tunachofanya wala hatuna longolongo hata kidogoKumbe ndio maana ulikua unataka aje inbox ili umpige
Hapana mzee inbox ningemtumia picha za posters zetu zenye bidhaa na specifications wala asiwe na wasiwasi we are very serious na tunachofanya wala hatuna longolongo hata kidogo