Compromising the situation

Wale wasiopenda picha zetu haya njoni huku
 
Huyu mbwa anatafuta balaa, huyo kiboko akikwazika hapatatosha hapo
 
Wasije wakawa wanaombana naniliu
 
Wasije wakawa wanaombana naniliu

ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha

aiseee........

yaani hapo kitendo cha kiboko kufungua mdomo robo tatu ya mbwa itakuwa imepotea
 
ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha

aiseee........

yaani hapo kitendo cha kiboko kufungua mdomo robo tatu ya mbwa itakuwa imepotea

Mdomo upii wa ruku behind au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…