Mwanza sales
Senior Member
- Nov 17, 2015
- 193
- 87
Hiyo compressor ni ya njia ngapi?Compressor zimebaki chache karibu Sana ujipatie compressor yako sasa kwa ajili ya digger pamoja Na upepo,kazi Kubwa ikiwa Ni kupasua miamba pamoja Na kusukuma upepo mgodini
Hiyo compressor ni ya njia ngapi?
Je unauza complete na digger yake?
Alafu ina bar ngapi?
Ova