Compressor ya Upepo for sell

pex

Member
Joined
Nov 20, 2009
Posts
57
Reaction score
13
Ninauza compressor ya upepo size ya kati ya lt 100. Compressor bado mpya haijatumika na ina vifaa vyake vyote kama inavyoonekana katika picha. Niliinunua 650,000 na ninaiuza 500,000 tu. Sababu ni change of business plan. Serious buyer can reach me through 0657 621427.
 

Attachments

  • 1409927694455.jpg
    75.2 KB · Views: 198
Chukua Mia 4 fasta tufunge hii biashara..
 
Reactions: pex
TANMO ongeza hiyo hela. Kwani hii Compressor ni mpya haijatumika, pipe ya upepo sio ya dukani ni zile ngumu za kwenye malori na gauge yake ni imara ambayo haipati kutu wala kuharibika kwa haraka vyote hivi vimenigharimu.
 
TANMO nimeku PM angalia message zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…