Wapo chini ya madiwani?!!!!Issue imekuwa complicated as only interns na muhimbili dr walio chini ya wizara ya afya the rest mikoani wapo chini ya halmashauri ambayo ni tamisemi so mgomo unity ni ndogo. Hawa madokta wako chini ya madiwani.
Muhimbili mgomo upo na Polisi wanazunguka Kama hawana Akili. Kuna FFU pia. Pinda si kiongozi ni msanii asingepoteza uwaziri mkuu Leo tungepiga Naye stories
Thats what we want.............tuone kama Davos inaweza kutibu wagonjwa sasa!!! gademu!!!!Muhimbili hata emergency cases hazipokelewi labda FFU wavae makoti meupe watibu
Hahahaha....... hapo kwenye red...... dah! Umeamua kudhalilisha mama zetu namna hii? Mi nadhani hapo pangesomeka "it"Hata huko Mbeya mgomo unaendelea na MOI ndo kabisa shughuli zimesimama. Polisi si waanze kutibu sasa kama swala ni kutumia nguvu ya dola. maskini Pinda she has proved a failure ruler again. Anasumbuliwa na Ulimboka mpaka anakiri hadharani naona anataka kumfanya vibaya sasa huyu dokta.
Hehehe... dah! Chonde chonde wasitukasirishie na wafanyakazi wa TBL/SBL. Ndio tumaini letu pekee la "tiba" lililobakia.Thats what we want.............tuone kama Davos inaweza kutibu wagonjwa sasa!!! gademu!!!!
Huyu ulimboka ni mtoto wa mkulima kiukweli si AKA
madaktari wengi leo wapo kazini.hongereni sana
My God! yaani madiwani hawa hawa ambao wameishia darasa la 4 na la saba leo hii ndio wanawasimami mdaktari wenye degree zao? aisee siasa imeshaiharibu nchi vya kutosha.Issue imekuwa complicated as only interns na muhimbili dr walio chini ya wizara ya afya the rest mikoani wapo chini ya halmashauri ambayo ni tamisemi so mgomo unity ni ndogo. Hawa madokta wako chini ya madiwani.
Muhimbili mgomo upo na Polisi wanazunguka Kama hawana Akili. Kuna FFU pia. Pinda si kiongozi ni msanii asingepoteza uwaziri mkuu Leo tungepiga Naye stories
Wapo chini ya madiwani?!!!!
Aseeee!!!
Mtu yeyote anaefahamu utendaji wa Halmashauri/ manispaa hawezi kuuliza swali hili.Atusaidie kuwa-wanalipwa na madiwani?wanapangiwa kazi na madiwani?vyote pamoja?au urongo tuu