Asante kwa somo hilo hapo juu
Nimelipenda
Mukulu,kabla ya kwenda kote huko,unaweza kutembea barabarani na ukaona "nyayo" na ukaanza kujiuliza "kuna nini kimepeta hapa"
Hilo aina la swali linaashiria kuwa "unadhani" kuna kilichopita hapo lakini bado hujajua ni nini
Sasa basi,duniani kuna uhai na viumbe hai ambavyo vina utaratibu na maumbile tofauti,kwa mantiki hiyo hapo juu ya "nyayo",huoni kwamba kuanza "kudhani" kuwa kuna aliyefanya haya yote ni sahihi kimantiki badala ya kuanza kudhani hakuna aliyefanya? [kabla hata ya kuamua kuwa aliyeyafanya haya ni Mungu]
Kwa nini usitumie Mantiki itakayokufanya udhani kuwa "nyayo" ni za "kitu" kilichopita hapa kwenye suala la kuonya "nyayo" kama binadamu,miti n.k kuwa ni alama ya uwepo muwekaji?
Mukulu,unaamini leo tena?
Halafu kwanini unadhani kuna contradiction?
Basis za contradiction ambazo zinakufanya "uziamini" na kuzitumia kwenye mambo ya Mungu uliyoyasikia zimetoka wapi?
Kwanini hazibadiliki?
By the way,ni contradiction au hujaelewa?
Sasa mkuu kama kutakuwa hakuna ambacho ni tegemezi maisha yataweza kuendeleaje na naona "kama haiwezekani" hivi,nasema hivyo kwa sababu kuwa HAIWEZEKANI KILA KIMOJA KIWE TEGEMEZI
Sisi binadamu ni tegemezi wa mazingira yanayotuzunguka,bila ardhi,maji n.k hatuwezi kuendelea kuwepo
Viume vingine navyo ni hivyo
Kwanini tutegemee mazingira na "sio kitu kingine"?
Inawezekanaje kila kimoja kiwe ni tegemezi halafu maisha yaendelee?
Huwezi kuona kuna uwezekano kuna ambacho ndio provider?
Haya maswali yanaweza yakajibiwa kwa concept hizi
Sawa,kwanini usijenge hoja ya nini kimeleta huo uhai?Kwa nini sababu ya uhai na dunia kuwapo iwe ni "nani" na si "nini"?
Kwani mimi nimemuadress Mungu hapo?Mungu mwenye uwezo wote, upendo wote, ujuzi wote kwa nini aachie viumbe wake aliowaumba mwenyewe na anaowapenda wapate maumivu, magonjwa na mabaya yote ya dunia hii wakati ana.kila uwezo na sababu ya kuzuia hilo?
[kabla hata ya kuamua kuwa aliyeyafanya haya ni Mungu]
Sawa,kwanini usijenge hoja ya nini kimeleta huo uhai?
Kwani mimi nimemuadress Mungu hapo?
Halafu ukisoma kwa makini utagundua kuwa nilisema kuwa tuanzie na step ya kwanza ya ku doubt kama mfano wangu wa nyayo hapo juu,Mungu anakujaje hapa?
Au hii sentensi yangu hapa chini hukuiona?
Hujajibu swali.
What is not "tegemezi"?
Sio kweli na ndio maana ukaniuliza "kwanini iwe uhai na dunia iwe umetoka kwa nani na sio nini"Nishajadili kuhusu haja ya uchunguzi hapo juu.
Wapi?Na mungu umemleta wewe, mimi nilijibu tu.
Check the flow.
Nasema ni assumption kwa sababu huwezi thibitisha kwamba vitu vyote vina muwekaji, mf Mungu muwekaji wake ni nani?
Mkuu hebu tuangalie maana ya Mungu.
To cut off the story
Unaweza kuniambia Mungu mwenye uwezo wote na nguvu zote anaweza kuwekwa na nani? [kama hata unajua maana ya nguvu zote na uwezo wote]
Unaamini [kujua] kuwa huyu Mungu yupo?
Hebu nijibu hayo maswali ili tusiendelee kujaza sever za JF bila sababu za msingi!
Sio kweli na ndio maana ukaniuliza "kwanini iwe uhai na dunia iwe umetoka kwa nani na sio nini"
Wapi?
Kivipi?
Tatizo naona kama kuelewa kile ninachoandika ndio shidaMkuu naona hapa hatuelewani, mimi sijasema kuwa Mungu kawekwa, ila mantiki yako ndo itamfanya Mungu awe kawekwa,
Sasa sikia,kanuni ya maumbile inasema kuwa "intelligence come from intelligence" kwa kutumia kanuni hii ni kuwa kitendo cha wewe ku doubt uwepo wa Mungu kinaonesha kuwa una "akili" kama una akili hiyo ni wazi kuwa akili yako imetoka kwenye kilicho na akiliMkuu siamini wala sijui kama Mungu yupo au hayupo, lakini nimesikia habari zake nyingi na sifa kem kem kama nilvyokuwekea pale juu, lakini hakuna uthibitisho wowote.
Soma hapo juu!Ndo maana nikakuuliza kama unaweza kuthibitisha uwepo wake unithibitishie.
Unaemuuliza asipokupa jibu nini kinatokea?Hata kuuliza ni uchunguzi.
Nioneshe nilipomtaja Mungu kwenye post niliyo ku quote na nikasema ndie aliyeumba ulimwengu huu!Ukiangalia mfululizo wa posts utaona ulipoanza kumtaja mungu na mimi nilipojibu.
Unaemuuliza asipokupa jibu nini kinatokea?
Nioneshe nilipomtaja Mungu kwenye post niliyo ku quote na nikasema ndie aliyeumba ulimwengu huu!
Tatizo naona kama kuelewa kile ninachoandika ndio shida
Mkuu,sijasema kuwa wewe umesema chochote hapo bali lilikuwa ni swali la kukufanya utafakari kuwa kama mwenye sifa hizo anaweza kuwekwa na yoyote
Sasa sikia,kanuni ya maumbile inasema kuwa "intelligence come from intelligence" kwa kutumia kanuni hii ni kuwa kitendo cha wewe ku doubt uwepo wa Mungu kinaonesha kuwa una "akili" kama una akili hiyo ni wazi kuwa akili yako imetoka kwenye kilicho na akili
Kwa hayo hapo juu wewe ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu,kama unabisha thibitisha hilo na kumbuka utakuwa unapingana na kanuni ambazo zinaongoza ulimwengu huu
Soma hapo juu!
Hahaha,
Extension ya kuuumba ulimwengu huu ni implicit in Judeo Christian thought.
Are you now repudiating the Judeo Christian god?
If intelligence must come from intelligence, where did gids intelligence come from?
Which intelligence gave rise to god's intelligence?
And if god's intelligence was caused by some external factor, is that god really a god or just a highly complex being?
And if god did not get his intelligence from an external factor, is it really true that intelligence must come from intelligence?
1. Provability is relevant only in a certain framework. Ultimately, all provability is fallible and qualified. If you haven't grasped this in my previous writing, I doubt I can help you further.
2. What is "GOD"?
3. What is not "tegemezi"?
Umetoa hii kwenye post yangu ipi?
Tatizo naona kama kuelewa kile ninachoandika ndio shida
Mkuu,sijasema kuwa wewe umesema chochote hapo bali lilikuwa ni swali la kukufanya utafakari kuwa kama mwenye sifa hizo anaweza kuwekwa na yoyote
Sasa sikia,kanuni ya maumbile inasema kuwa "intelligence come from intelligence" kwa kutumia kanuni hii ni kuwa kitendo cha wewe ku doubt uwepo wa Mungu kinaonesha kuwa una "akili" kama una akili hiyo ni wazi kuwa akili yako imetoka kwenye kilicho na akili
Kwa hayo hapo juu wewe ni uthibitisho wa uwepo wa Mungu,kama unabisha thibitisha hilo na kumbuka utakuwa unapingana na kanuni ambazo zinaongoza ulimwengu huu
Where did you get the malarkey "must"?If intelligence must come from intelligence, where did gids intelligence come from?
God is more than intelligence. He created the intelligence for you to comprehend.Which intelligence gave rise to god's intelligence?
The "if" shows doubt and does not belong to our God.And if god's intelligence was caused by some external factor, is that god really a god or just a highly complex being?
That is your diabolical opinions and not facts. The "if" syndrome 101And if god did not get his intelligence from an external factor, is it really true that intelligence must come from intelligence?