Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Lakini kutoviona haifanyi kwamba visiwepoVery interesting question.
Inawezekana kabisa kwamba kuna vilivyopo ambavyo hatuvioni.
Je science ya kuviona isingegunduliwa ungesema kwamba havipo?After all, kabla ya scientific advancement hatukuweza kuona effects za radio waves, gamma rays etc. Mpaka tulipogundua sayansi za kuviona (indirectly)
Umeuliza maswali nadhani na kujijibu vyema, kwa hilo jibu lako ulishafanya hayo juu ya Mungu?Sasa tutajuaje kwamba kuna vitu ambavyo havionekani na hatujapata namna ya kuviona tu?
Na tutajuaje kwamba tunaendekeza hadithi tu kwa kufikiri kwamba kuna vitu visivyoonekana (kama mungu)?
Ni kwa uchunguzi na ugunduzi na utafiti na udadisi, polepole tutajua.
kwanza nilitaka kujua unaelewa nini maana ya Mungu? halafu je unaamni katika zile theory za Darwin?Mimi siamini mungu wa Judeo Christian traditions kwanza kwa sababu ana an inherently self contradicting nature which makes him inconsistent in an ungodly way. By his own standards.
Basic stuff.
Free ideas alileta mada wamempa kibano hajaonekana, sasa labda na huyu mwenzake sijui kama atahimili, hawa inawezekana wakawa wametoka kule kwa kina Gavana maana uwezo wao unatia shaka ngojea niendelee kumsoma CYBERTEQ labda anaweza akawa tofauti na mwenzake...
1. You don't have to accommodate something which is not provable according to your fallacy, in contrast, now FAITH is PART OF SCIENCE.
2. How much Science is accommodating "GOD"?
3. The same issue of the "Negative God" now is "the opposite of faith". When will you stop copying from theists? Does, it means, without "theists" there is no "non theists"?
4. That is why Ishmael said Sayansi ni TEGEMZI. You have proved the words of Ishmaels as authentic.
Hapana hii sio ligi ya kuonyeshana nani zaidi, ni hali ya kueleweshana mambo, CYBERTEQ ameanzisha mada yaani yeye ndio mwenye mada ila hilo swali limempiga chenga, ukitaka kuona ninachokwambia nenda jukwaa la dini uone Free ideas ameanzisha mada ya kwamba Yesu hakuwahi kuwepo kaangalie anavyojenga hoja unaweza ukashangaa, sasa kwa swali kama hili tukaonelea atleast wewe unaweza ukalijibu, lakini hao wenzako ni vichekesho...
Lakini kutoviona haifanyi kwamba visiwepo
Je science ya kuviona isingegunduliwa ungesema kwamba havipo?
Umeuliza maswali nadhani na kujijibu vyema, kwa hilo jibu lako ulishafanya hayo juu ya Mungu?
kwanza nilitaka kujua unaelewa nini maana ya Mungu? halafu je unaamni katika zile theory za Darwin?
Kiranga anaweza akajaribu ila hawa wengine sijui wamekurupuka nashindwa kuelewa, mtu ana pewa logic anaanza kuzunguka zunguka tu, yule Free ideas ndio ameniacha hoi kabisa...
Kwanini unafikiri hivyo?Sasa mkuu hii mantiki yako itamtaka Mungu na yeye awe na muwekaji, kwa sababu inakana uwepo wa kitu chenye mpangilio bila kuwa na muwekaji.
Assumption at work ...Kwa hiyo unakubali kuwa Mungu na yeye ana muwekaji?
Limeshapewa jibuSwali hilo hapo juu
Huyo mtu anaewekewa vyuma atakuwa na afya kaya ya mwanzo?Hapana mkuu, madaktari muda fulani si lazima wafuate kanuni za muwekaji,
Mf. Mtu akiwekewa vyuma badala ya mifupa, hapa kanuni ya muwekaji haijafuatwa
Bado hujawezaNimekujibu hapo juu
Hahahahahaaaa ......!!Wa kuwashukuru wako wengi mkuu ndugu, jamaa, marafiki n.k
wewe unaelewa maana ya majungu kweli? sio majungu huo ni ukweli, ingekuwa majungu usingeitwa hapa, licha ya hivyo hata hicho unachokinadi hakuna ulichojibu , halafu kama nikikubaliana na wewe kwanini majibu yako yamchukue mtu week mbili kuelewa? kama ulichoandika sio pumba kwa muktadha huo?Mbona unapiga majungu,ninachokiandika inawezekana ukachukua wiki mbili kukielewa kama ndugu yako Ishmael alivomaliza wiki mbili na jibu la maswali yake bila kujua kama kajibiwa tayar.Nilivomkumbusha na mkuletea akadai yaandikwe kwa namba.Mbona mi siwapigi majungu! Hizo tabia zinaendana na jinsia zenu kweli?.
Check sasa mambo yako unaweza ukathibitisha kwamba Tunatumia id mbili? we umepewa majibu, au we unataka ujibiwe vipi? Halafu eti unahitimisha watu tunatumia id mbili halafu hapo hapo unaweza ukaja ukasema umethibitisha, licha ya hivyo hata kama id mbili zinatumika inakuzuia vipi wewe kutokujibu?Mada yangu ya JesUS! The Empty Cross-Hakuna Ushahidi Wa uwepo wake ,Mmeshindwa nyie ambao mpaka sasa hamjasema yesu alizaliwa wapi.Mjungu hayasaidii ,na wengi wenu siwajibu maana mntumia Id mbili kitu ambacho ni UNAFIKI
Asante kwa somo hilo hapo juuVery interesting question.
Inawezekana kabisa kwamba kuna vilivyopo ambavyo hatuvioni.
After all, kabla ya scientific advancement hatukuweza kuona effects za radio waves, gamma rays etc. Mpaka tulipogundua sayansi za kuviona (indirectly)
Mukulu,kabla ya kwenda kote huko,unaweza kutembea barabarani na ukaona "nyayo" na ukaanza kujiuliza "kuna nini kimepeta hapa"Sasa tutajuaje kwamba kuna vitu ambavyo havionekani na hatujapata namna ya kuviona tu?
Na tutajuaje kwamba tunaendekeza hadithi tu kwa kufikiri kwamba kuna vitu visivyoonekana (kama mungu)?
Ni kwa uchunguzi na ugunduzi na utafiti na udadisi, polepole tutajua.
Mukulu,unaamini leo tena?Mimi siamini mungu wa Judeo Christian traditions kwanza kwa sababu ana an inherently self contradicting nature which makes him inconsistent in an ungodly way. By his own standards.
Basic stuff.
Kibano maana yake nn?
Kwanini unafikiri hivyo?Si mimi ambaye nimefikiri hivyo ila ni mantiki yako ambayo umeisema mwenyewe
Ulisema hivi,
Mantiki inakana kuwepo kitu chenye mpangilio kama binadamu bila kuwepo
muwekaji wake, hivyo mimi na mwingine yoyote anaetumia mantiki atakubali kuwa hata nyumba haiwezi kuibuka tu
bali lazima kuna mjenzi
Hayo ni maneno/assumption zako si mimi
Mkuu kwani Mungu ni kitu?
Unajua maana ya kitu mkuu?
Ngoja nikusaidie
1. An object that one can not or doesnot wish a specific name to....
2.An inanimate material object as distinct from a living being > a living creature or plant > a person or animal in terms of one's feeling of pity, approval etc
3. An action, activity, concept or thought > unspecified circumstances or matter etc.
Kwa hiyo mkuu, Mungu vyovyote alivyo bado ataingia kwenye mojawapo ya categories za kitu.
Assumption at work ...
Wewe ndo umeassume kwamba kila kitu lazima kiwe na muwekaji na mimi nimetumia assumption yako kukuuliza hayo maswali.
Narudia kukunukuu
Mantiki inakana kuwepo kitu chenye mpangilio kama binadamu bila kuwepo
muwekaji wake, hivyo mimi na mwingine yoyote anaetumia mantiki atakubali kuwa hata nyumba haiwezi kuibuka tu
bali lazima kuna mjenzi
That's your assmption mkuu not mine
Hujaweza kuniuliza swali sahihi litakalokupa majibu unayotaka
Maswali yangu yako wazi kabisa wewe tu ndo hajataka kunipa majibu
Hivi unafikiri ni kwa mantiki ipi ambayo inakana binadamu kuwepo?
Naona mkuu bado una usingizi, hakuna aliyesema kwamba kuna mantiki inakana binadamu kuwepo.
Bali wewe ulisema kuna mantiki inakana uwepo wa vitu vyenye mpangilio maalum bila kuwa na muwekaji.
Nakunukuu tena
Mantiki inakana kuwepo kitu chenye mpangilio kama binadamu bila kuwepo
muwekaji wake, hivyo mimi na mwingine yoyote anaetumia mantiki atakubali kuwa hata nyumba haiwezi kuibuka tu
bali lazima kuna mjenzi
Mwisho wa kunukuu
Na unadhani ni kwanini vitu ni lazima viwe ba muwekaji?
Naona umesahau mkuu, hiyo mantiki ya kila kitu kuwa na muwekaji umesema wewe na si mimi, ndo nikakuuliza kama mantiki yako inakana kitu kuwepo bila ya muwekaji, je na mungu ana muwekaji?
Huyo mtu anaewekewa vyuma atakuwa na afya kaya ya mwanzo?
Hawezi kuwa kama mwanzo, lakini ataendelea kuishi pamoja na kuvunja kanuni za muwekaji. Ingekuwa kanuni hizo hazivunjiki bas huyu angekufa na si kuendelea kuishi, mf. Gari la kutumia mafuta ukiweka maji haliwezi kutembea.
Kuna mifano mingi sana katika hili mkuu, mf. Wanaofanya plastic surgery anatoa breast tissue wanaweka breast implants n.k hapa bado wanavunja kanuni za muwekaji.
Bado hujaweza
Wewe ndo umeshindwa kuitetea mantiki yako mkuu ya kukana uwepo wa kitu bila muwekaji.
Lakini jamaa yeye hakuongelea ugonjwa ukiwa katika hatua mbalimbali, wewe hayo umetoa wapi?
jamaa hapo aliongelea wagonjwa wawili katika case moja hayo mambo ya maombi na kwenda kanisani hayakuwepo kwenye swali, wewe umeyatolea wapi?
Lakini jamaa katika swali lake hakuweka condition, wewe ulipewa swali ukashindwa kujibu ukaanza kuja na concept ambazo hazipo hata kwenye swali, licha ya hivyo jamaa ametoa jibu hapa chini je unakubaliana nae? check hapa chini
kwa hiyo kwa maana hiyo na wewe unatuambia unataka umweke ignore list? sasa hizo sababu zenu yaani mkishindwa kujadiliana na mtu mnamtupia ignore list!? kweli!? Halafu tutaamini vipi kama amekufuta inbox, licha ya hivyo kama amekwambia yeye ni mwana sayansi inabidi sasa mjadili kwa hoja mi nilidhani amekufuta inbox kukutukana kumbe hapana!
3. What is not "tegemezi"?
Hawezi kuwa sawa kivipi? wakati unaongelewa ule ule ugonjwa ambao upo sawa kwa wote...Mgonjwa A hawezi kuwa sawa na Mgonjwa B, utofauti wao ndiyo unasababisha kuongeza au kupunguza uwezekano wa kupona kama wakitumia dawa, hizo tofauti hautaki tuzijadili eeh?!....:A S-eek:
Mgonjwa A hawezi kuwa sawa na Mgonjwa B, utofauti wao ndiyo unasababisha kuongeza au kupunguza uwezekano wa kupona kama wakitumia dawa, hizo tofauti hautaki tuzijadili eeh?!....:A S-eek:
Huyo jamaa ni wa ajabu anaanza kudai watu tunatumia id mbili, aisee...Ngoja Sangarara na Stefano Mtangoo waje wakujibu maana hata wao waliwahi kukupa "kibano" hadi ukakimbia!
Haya maswali yanaweza yakajibiwa kwa concept hiziNa pia, kutoviona haifanyi viwepo. La sivyo mimi kutoona dollar "zangu" za kufikirika trillioni trillioni kungefanya ziwepo.
Ningesema tutafute science ya kuviona. Kama ninavyokwambia nipe ushahidi kwamba mungu yupo.
Nimeuiliza kufahamishwa kuhusu uwepo wa mungu na kutoa a way to give a satisfactory answer.
Mimi sikubali kuwapo kwa supernatural powers zote, si mungu tu. Labda wanaoamini kuwepo kwa mungu ndio watuambie wanaposema mungu wanamaanisha nini.
Sitaki kuamini, nataka kujua.
Kuamini is not interesting at all to me.
Asante kwa somo hilo hapo juu
Nimelipenda
Mukulu,kabla ya kwenda kote huko,unaweza kutembea barabarani na ukaona "nyayo" na ukaanza kujiuliza "kuna nini kimepeta hapa"
Hilo aina la swali linaashiria kuwa "unadhani" kuna kilichopita hapo lakini bado hujajua ni nini
Sasa basi,duniani kuna uhai na viumbe hai ambavyo vina utaratibu na maumbile tofauti,kwa mantiki hiyo hapo juu ya "nyayo",huoni kwamba kuanza "kudhani" kuwa kuna aliyefanya haya yote ni sahihi kimantiki badala ya kuanza kudhani hakuna aliyefanya? [kabla hata ya kuamua kuwa aliyeyafanya haya ni Mungu]
Kwa nini usitumie Mantiki itakayokufanya udhani kuwa "nyayo" ni za "kitu" kilichopita hapa kwenye suala la kuonya "nyayo" kama binadamu,miti n.k kuwa ni alama ya uwepo muwekaji?
Mukulu,unaamini leo tena?
Halafu kwanini unadhani kuna contradiction?
Basis za contradiction ambazo zinakufanya "uziamini" na kuzitumia kwenye mambo ya Mungu uliyoyasikia zimetoka wapi?
Kwanini hazibadiliki?
By the way,ni contradiction au hujaelewa?
Mkuu,naomba unisome na kunielewaSi mimi ambaye nimefikiri hivyo ila ni mantiki yako ambayo umeisema mwenyewe
Ulisema hivi,
Hayo ni maneno/assumption zako si mimi
Nithibitishie kuwa Mungu anafit kwenye hizo maana zako za kituUnajua maana ya kitu mkuu?
Ngoja nikusaidie
1. An object that one can not or doesnot wish a specific name to....
2.An inanimate material object as distinct from a living being > a living creature or plant > a person or animal in terms of one's feeling of pity, approval etc
3. An action, activity, concept or thought > unspecified circumstances or matter etc.
Kwa hiyo mkuu, Mungu vyovyote alivyo bado ataingia kwenye mojawapo ya categories za kitu.
Sijaasume bali hiyo ni kwa mujibu wa mantikiWewe ndo umeassume kwamba kila kitu lazima kiwe na muwekaji na mimi nimetumia assumption yako kukuuliza hayo maswali.
Hapana siku assume bali nilikuambia kuwa kama tukianza kudhani nyumba inaweza kutokea bila mjengaji tutakuwa tuna violet kanuni ya mantiki,upo hapo?Narudia kukunukuu
That's your assmption mkuu not mine
Bahati mbaya sana hukunielewaMaswali yangu yako wazi kabisa wewe tu ndo hajataka kunipa majibu
Naona mkuu bado una usingizi, hakuna aliyesema kwamba kuna mantiki inakana binadamu kuwepo.
Bali wewe ulisema kuna mantiki inakana uwepo wa vitu vyenye mpangilio maalum bila kuwa na muwekaji.
Nakunukuu tena
Mwisho wa kunukuu
Soma hapo juuNaona umesahau mkuu, hiyo mantiki ya kila kitu kuwa na muwekaji umesema wewe na si mimi, ndo nikakuuliza kama mantiki yako inakana kitu kuwepo bila ya muwekaji, je na mungu ana muwekaji?
Kitendo cha huyo mtu kuwa na afya dhaifu tayari ni ishara ya uvunjifu wa kanuni,sijui kwanini huoni hiliHawezi kuwa kama mwanzo, lakini ataendelea kuishi pamoja na kuvunja kanuni za muwekaji. Ingekuwa kanuni hizo hazivunjiki bas huyu angekufa na si kuendelea kuishi, mf. Gari la kutumia mafuta ukiweka maji haliwezi kutembea.
Kama unajidai huoni na kusoma madhara yanayopatikana kwa hao kufanya hivyo sijui nitakusaidiajeKuna mifano mingi sana katika hili mkuu, mf. Wanaofanya plastic surgery anatoa breast tissue wanaweka breast implants n.k hapa bado wanavunja kanuni za muwekaji.
Soma huko juu!Wewe ndo umeshindwa kuitetea mantiki yako mkuu ya kukana uwepo wa kitu bila muwekaji.
Huyo jamaa ni wa ajabu anaanza kudai watu tunatumia id mbili, aisee...
Mkuu,naomba unisome na kunielewa
Nilikuwekea hapo kuwa mantiki inakana vitu kuwepo bila muwekaji sijui hiyo inakuwaje ni assumption
Nithibitishie kuwa Mungu anafit kwenye hizo maana zako za kitu
Ukishindwa utakuwa ume assume tu na humjui Mungu ni nini
Sijaasume bali hiyo ni kwa mujibu wa mantiki
Au unakana?
Hapana siku assume bali nilikuambia kuwa kama tukianza kudhani nyumba inaweza kutokea bila mjengaji tutakuwa tuna violet kanuni ya mantiki,upo hapo?
Bahati mbaya sana hukunielewa
Nilikuuliza kama unaweza kujua sababu ya kila kitu kuwa na muwekaji,hujaelewa kabisa hili
Lakini pia nilikuambia kuwa umeshindwa kuniuliza maswali ambayo yanaweza kukupa majibu sahihi kwakuwa kuna step umeiruka
Kabla ya kujadili au kurukia kuwa Mungu anaweza kuwa na muwekaji ni lazima kwanza ujue Mungu ni nani
Tunasema binadamu lazima awe na muwekaji la hawezi kuwepo tu kutokana vile ambavyo binadamu tunamuona na viungo vyake vilivyo na mpangilio,yaani ni kama nyumba yenye bafu,choo,jiko,chumba cha kulala n.k useme vyote hivyo vimetokea tu bahati mbaya hata kama umejua kuwa vyote hivyo vipo hapo kwa sababu maalum nayo ni atakaeingia humo atavihitaji
Labda nikuambie hivi;gari limewekewa break kwakuwa inahitajika kwenye matumizi na aliyiweka alijua hilo,leo binadamu anaonekana mkamilifu na hakuna kiungo ambacho kimekosekana kwenye hitaji lake,mfano kama angekuwa hana mkono mmoja na ikaonekana kwenye maisha yake ya kila siku anahitaji mkono mwingine hapo tungeweza kuona kirahisi sana kuwa amepungua,iweje aonekane hajapungua?
Sasa basi kwa mntiki hiyo ndipo tunasema kuwa binadamu aliwekwa na hakujiweka mwenyewe au kutokea tu
Kwenye ishu ya Mungu ni tofauti,hujui Mungu uwezo wake unakomea wapi,halafu kabla ya kwenda kote huko ni lazima kwanza tukubaliane kama yupo ili tuanze kujadili uwezo wake,hatuwezi kujadili uwezo wa gari wakati hatujui au mmoja haamini kama kuna gari
Kitendo cha huyo mtu kuwa na afya dhaifu tayari ni ishara ya uvunjifu wa kanuni,sijui kwanini huoni hili
Kama unajidai huoni na kusoma madhara yanayopatikana kwa hao kufanya hivyo sijui nitakusaidiaje