Nimempa heko kwa sababu ameonesha ukomavu kwa kujui udhaifu wako katika mijadala kama hii.
How did you know that?,Who told you about someone/something you haven't seen.?
2. God is above logic
Try to use logic and see if you will comprehend Him? Logic imeshindwa vibaya sana kuelewa Mungu kama yupo au hayupo.What do you mean by,,Above logic ""?
3. God is above reasoning
What is the reality and "not a reality"? Tell me how did you come to that conclusion? Give me your findings.Yes!,because he/it is only an idea not a reality
In fact, those things exists because of HIM.
Wewe niambie upo wapi, nitakuja na kukutoa masheitwain. It is the empirical fact.Are you sure or you believe ?
When I use the Name of Jesus and someone's demons and/or cancer vanishes, tell me, how can science comprehend that?
Go ahead and enjoy Rio, mimi nilienda kabisa Rio wakati wa ile World Cup. Nilikula Samaki wa Kupaka, watamu kuliko wa pale Nangurukuru.When i use my Tv to see what is happening at Rio de Janeiro in Brazil while sitting on my sofa in Rwanda,tell me the difference.!
My prior reply was dismiss intellect and or science by showing them that, "If Doctors heals", why do we have dead people.
Doctors(human being) try their level best to help the patient get well.But your god has nothing to do with us!,ndo mana hata wewe hujui yuko upande gani!
Sasa huyu Mpinga Yesu na Mpinga Mungu Free ideas kakupa heko, kwangu mimi naona ni msiba kwake, maana hajui wapi tulianzia kuzungumza.
Basi tumia hizo mbinu kushinda mjadala huu kwa kunipa uthibitisho kuwa mungu yupo.
Tatizo sipo hapa kushindana kama yule jamaa na bingwa wa Ignore List na mpenzi wa ligi. Nipo hapa kumweleza Mungu na Raha yake kama utabahatika kuwa Mtoto wake.
Ukinijibu hili swali nitakupa ushaidi wa kuwepo kwa Mungu.
SWALI:
Kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo?
Acha mkwara bwana.We siku zote umekosa ushahidi wa kuwepo mungu uupate leo?.
Lazima ujue kwamba,wengi wenu ndio huwa mnaanzisha mijadala kama hii.Sisi wengine huwa tunaitwa kuchangia chochote.Tunapokuja huwa tunawaomba ushahidi wa kile mkisemacho,lakini cha ajabu hakuna ushahidi umewahi kutolewa hapa kwamba mungu yupo.
Jibu:Nikisema kwamba mimi nataka kufahamu kwamba mungu yupo ntakuwa siko sahihi.Kwa kuwa sio kweli kwamba mi nataka kufahamu kama yupo, bali nyie mnaosema yupo mtupe ushahidi ili tujue kwamba yupo.
SASA NARUDIA SWALI, USIOGOPE KUNIJIBU HILI SWALI SIO MTEGO.
SWALI:
Kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo?
JIBU: Mi Sitaki KUFAHAMU bali NAOMBA/NAHITAJI USHAHIDI KWAMBA MUNGU YUPO.!
Nahisi unakosea kuuliza swali. Mi nahitaji ushahidi kwamba yupo sitaki kufahamu.
Hivi, kwanini huwa unaogopa kunijibu? WEWE umeweka maswali zaidi ya saba, na nimeyajibu yooote bila ya hiana. Mimi kaswali kamoja tu, teyari hutaki kujibu, how are you/we going to learn without answering questions?
SWALI:
Kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo?
Sijawahi kuogopa kukujibu!,mbona jibu langu limeeleweka ila kwa kuwa haliko kama ulivotarajia ndio maana haulikubali?.Kesi yoyote inahitaji kwanza ushahidi kisha kila kitu kinajulikana baadae.
Hakimu akikamilishiwa ushahidi basi hata mwenendo wa kesi utakuwa wazi.Hakimu hawezi kuhukumu bila kuwa na ushahidi kwanza.Sasa wewe nipe ushahidi wa kuwepo mungu kisha kutaka kumjua kutakuja baadae.
Nitatakaje kujua kitu/mtu wakati sina ushahidi kwamba kipo/yupo?.Nipe ushahidi nabkamabnikiridhika nao ndio ntakwambia sasa nataka kumjua !Nadhani umenielewa
Kesi huwa inapo funguliwa lazima kuwe na sababu ya kuifungua hiyo Kesi. Sasa mimi nataka sababu ya wewe kufungua kesi. Sasa basi, you are a petitioner you have to tell me why do you want to know if God does exists? Lazima ipo sababu inayo kusukuma ndani yako, kiasi hiki, hiyo sababu ndio nataka "kuifahamu" KWANINI UNATAKA KUFAHAMU KAMA MUNGU YUPO?

Kumbe haujui kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo na haufahamu kwanini unapinga Mungu. Am I correct? Unapo taka ushaidi, lazima kuwe na complaint, that is inescapable. Wewe unaleta Summons without a complaint. A complete Summons must have either indorsed complaint or a separate complaint annex to it. Now, I as a defendant will either cross move your complaint and or file a verified answer with affirmative defenses.Mimi nahitaji ushahidi,kutaka kujua nitaamua
The issue is still the same. Why do you want exhibits of God's existence?Mimi nahitaji ushahidi,kutaka kumjua nitaamua ukisha leta ushahidi.
Kumbe haujui kwanini unataka kufahamu kama Mungu yupo na haufahamu kwanini unapinga Mungu. Am I correct? Unapo taka ushaidi, lazima kuwe na complaint, that is inescapable. Wewe unaleta Summons without a complaint. A complete Summons must have either indorsed complaint or a separate complaint annex to it. Now, I as a defendant will either cross move your complaint and or file a verified answer with affirmative defenses.
Same thing. Kuhitaji ushaidi na kutaka kujua ushahidi is the same thing.Huo ndio ushahidi?.Mbona umeuliza na kujijibu mwenyewe?.Kwa nn huzingatii majibu unayopewa badala yake unataka iwe kama utakavyo!.Mi nimekwambia sitaki kujua bali nahitaji ushahidi.Hivi neno KUTAKA KUJUA na KUHITAJI USHAHIDI kwako yana maana sawa?.
Ok sawa,kuna siku nilisema kama ukitaka kujadili mambo haya na kupata japo mwanga,basi weka imani pembeni.Tofauti na hapa ni vigumu kujua tunamaanisha nini tukisema mungu hayupo.Nanyi mkisema yupo lakini haonekani hatutafika mwisho.Wenzako huwa wanajaribu kujadili kwa facts pia lakini baada ya muda hurudi kule kule kwamba ",Naaamini yupo!"
Mbona kuna siku tulikua kwenye mjadala na wewe vizuri tu tena kuaanzia kwenye tofauti ya kujua na kuamini, hadi leo hii naweza kukuhakikishia kwamba kuna vitu unaviamini lakini wewe unafikiri unajua. Sitaki kurudi huko kwa sababu kama nilivyoweka wazi mwanzo, sipo kubishana.
Na sijui kwa nini tunapishana lugha au ni mimi sijui kuelezea vizuri. Nimeshaweka wazi kabisa kwamba Madaktari wanafanya kazi nzuri sana, na natambua umuhimu wao tena kwa eneo moja wanatoa huduma kitu ambacho hata Mungu usiyeamini kuwa yupo hana tatizo nalo.
Nnapokuja kupishana na wewe ni pale unapopinga kuwepo kwa nguvu iliyo kuu kuliko madaktari. Kama unaamini kwamba Mungu hayupo na Daktari ndio mwisho wa mambo yote, kwa nini wagonjwa wengine wasipone, wengine wapone, wengine wafe na wengine wasife?
Nikiumwa ntaenda hospitali kutibiwa lakini bado nna amini kwamba Mungu anawatumia madaktari kuleta uponyaji kwangu.
Maybe you are missing something.
1. God is above intellectual
2. God is above logic
3. God is above reasoning
In fact, those things exists because of HIM. When I use the Name of Jesus and someone's demons and/or cancer vanishes, tell me, how can science comprehend that?
My prior reply was dismiss intellect and or science by showing them that, "If Doctors heals", why do we have dead people.
Sasa huyu Mpinga Yesu na Mpinga Mungu Free ideas kakupa heko, kwangu mimi naona ni msiba kwake, maana hajui wapi tulianzia kuzungumza.
Mbona kuna siku tulikua kwenye mjadala na wewe vizuri tu tena kuaanzia kwenye tofauti ya kujua na kuamini, hadi leo hii naweza kukuhakikishia kwamba kuna vitu unaviamini lakini wewe unafikiri unajua. Sitaki kurudi huko kwa sababu kama nilivyoweka wazi mwanzo, sipo kubishana.
Na sijui kwa nini tunapishana lugha au ni mimi sijui kuelezea vizuri. Nimeshaweka wazi kabisa kwamba Madaktari wanafanya kazi nzuri sana, na natambua umuhimu wao tena kwa eneo moja wanatoa huduma kitu ambacho hata Mungu usiyeamini kuwa yupo hana tatizo nalo.
Nnapokuja kupishana na wewe ni pale unapopinga kuwepo kwa nguvu iliyo kuu kuliko madaktari. Kama unaamini kwamba Mungu hayupo na Daktari ndio mwisho wa mambo yote, kwa nini wagonjwa wengine wasipone, wengine wapone, wengine wafe na wengine wasife?
Nikiumwa ntaenda hospitali kutibiwa lakini bado nna amini kwamba Mungu anawatumia madaktari kuleta uponyaji kwangu.
Mkuu.kwenye hii ishu ya mgonjwa mmoja kupona namwingine kutokupona sikuwa nimewahi kujiuliza
Nimejiuliza sana siku kadhaa hizi na nazidi kuona tu kuwa hatuna namna ya kukwepa uwepo wa nguvu kubwa kuliko sisi
Kama kuna mtu anaamua tu kukataa kwasababu hana uwezo wa kutafakari au anaogopa majibu kama akiamua kutafakari au hataki kutafakari au ameshatafakari na kupata majibu na anaamua tu kubisha huyo tunaachana nae
Msingi wa hoja uko wazi kabisa,kama wanaweza kulielezea hilo kisayansi mbona hawajafanya hivyo?Kwanini watu wawili ambao tukio zima nla kuugua na aina ya ugonjwa unafanana mmoja afe na mwingine asife?Hebu watueleze hili linakuwaje kisayansi ili tutafakari pamoja
Cha kusikitisha hawa ndugu wameshindwa kabisa kulielezea hili na wamebaki kupiga soga zisizo na mashiko!
hao madokta walifanya bure?
:hail:I bow to the docs, hands down, thats pure science! Inasikitisha sana mtu ana mgonjwa kwenye critical condition, daktari akiokoa maisha yake shukrani anapewa mungu, how does he even come into this?!!...:wacko: