Salimin Ramadhan
Member
- Nov 29, 2016
- 21
- 7
Yeah.. Sorry bna.. Nilimanisha 1HD-T1DHT ndio engine gani mkuu hakuna engine yenye code hiyo labda kama new model imetoka leo! Nadhani ulikuwa unamaanisha 1HD-T
LandCruiser zote kuanzia 60/70 na 80 series unawezakuifunga hii engine.. Na pia kweny Costa inafaa.Hii inafaa kwenye land cruiser models zipi? L-Cruiser II je inafit? Ifotoe basi tuione, bei je?
Usijali mkuu, msaidie huyo jamaa bei yakeYeah.. Sorry bna.. Nilimanisha 1HD-T
Shukran kw marekebsho
Bei yake n 2.5MHii inafaa kwenye land cruiser models zipi? L-Cruiser II je inafit? Ifotoe basi tuione, bei je?
Mmh, hii bei mbona karibu na bure?Bei yake n 2.5M
Mkuu kwani umeiona ipo kwenye condition gani? Ukiona hadi imetolewa na inauzwa basi inamapungufu fulani. Ndio maana mwenye mali labda anafanya replacement na mashine nyingine. Labda tu kama gari lilipata ajali. You buy at your own riskMmh, hii bei mbona karibu na bure?
Chief, kwani hii model 1HDT na 3l ipi ipo juu? Ninamaana performanceMmh, hii bei mbona karibu na bure?
Dah, 1HD-T ni engine kubwa sana compared to 3L mkuu.Chief, kwani hii model 1HDT na 3l ipi ipo juu? Ninamaana performance
Jongwe. Angalia Maelezo mazuri hapo juu. Ndio maana nasema bei hiyo ni sawa na bure labda engine hiyo ina matatizo.Dah, 1HD-T ni engine kubwa sana compared to 3L mkuu.
1HD-T ni Turbo 6 cylinder ina cc 4200 na horsepower 164 wakati 3 L ni 4 cylinder haina turbo, cc 2800 na 91hp.
Jamaa anasema engine ipo kwenye hali nzuri. Siamini au jamaa hajui bei ya soko ya engine hiyo.Mkuu kwani umeiona ipo kwenye condition gani? Ukiona hadi imetolewa na inauzwa basi inamapungufu fulani. Ndio maana mwenye mali labda anafanya replacement na mashine nyingine. Labda tu kama gari lilipata ajali. You buy at your own risk
Kama n mtu unaefahamu gari.. Haina haja ya kuongea San.. Kama unaihitaji unawezafika sehemu husika.. Maana engine bado iko kweny gari.. Tutaiwasha kisha mwenyewe itaskilizia na utatoa majibuJongwe. Angalia Maelezo mazuri hapo juu. Ndio maana nasema bei hiyo ni sawa na bure labda engine hiyo ina matatizo.
Ni kweli..sema katka kuuza kitu kuna factors ambazo znapelekea mtu anaamua kuuza kitu chake kwa bei husika including condition ya kitu pia.Mmh, hii bei mbona karibu na bure?
Hongera kwa kutokuwa na tamaa. Hiyo bei nzuri mno.Kama n mtu unaefahamu gari.. Haina haja ya kuongea San.. Kama unaihitaji unawezafika sehemu husika.. Maana engine bado iko kweny gari.. Tutaiwasha kisha mwenyewe itaskilizia na utatoa majibu
Duh kubwa sana.Dah, 1HD-T ni engine kubwa sana compared to 3L mkuu.
1HD-T ni Turbo 6 cylinder ina cc 4200 na horsepower 164 wakati 3 L ni 4 cylinder haina turbo, cc 2800 na 91hp.
Unaweka kwenye Land Cruiser au CoasterDuh kubwa sana.
Prado IIUnaweka kwenye Land Cruiser au Coaster