well.. vision ya Nyerere is very simple.. maendeleo ni ya watu; kwa upande wa Kikwete maendeleo ni ya vitu. Wakati Nyerere alikuwa anaona maendeleo yanapimwa kwa kuangalia maisha ya watu yanavyobadilishwa na kunufaika na matumizi ya elimu, sayansi na teknolojia Kikwete na wenzake wamefikia mahali pa kuendeleza vitu ili wasema tumeongeza vitu.
Ni kutokana na ukweli huu utaona kuwa wakati Nyerere aliona elimu iwe ni ufunguo wa maisha kwamba mtu akipata elimu imsaidie kubadilisha maisha yake na jamii yake leo hii elimu inachukuliwa kwa ajili yake yenyewe. Hivyo, badala ya kutilia mkazo ubora wa elimu inayotolewa (kama wakati wa Mwalimu), serikali ya CCM chini ya Kikwete inatilia mkazo wingi wa sehemu za elimu. Hivyo, kina Kikwete watajitamba kuwa wameongeza shule, vyuo n.k (kitu ambacho ni kweli) lakini inapokuja swali la ubora wanashindwa kuuoneshea matokeo yake Kikwete, Mahiza na wenzao ati "wanashangazwa na matokeo mabaya ya mitihani". Kiasi kwamba Mahiza amefikia mahali pa kudai kuwa matokeo mabaya ya mitihani hayahusiani na ubora wa elimu inayotolewa!
Ukweli ni kuwa maendeleo mara zote lazima yawe ya watu! Kwa kadiri watu wanavyokuwa huru zaidi, na wakijapatia uwezo zaidi wa kuyamudu mazingira yao na kuyarahisisha hivyo ndivyo unaweza kuona maendeleo yakiwa kazini.
Mfano mzuri; Mkapa anasifiwa kwa kujenga uwanja wa kimataifa mkubwa kwa gharama ya shilingi bilioni 50(haya ni maendeleo ya vitu); wakati huo huo kilomita chache kutoka hapo kuna kina mama wanarundikana katika chumba kimoja baada ya kujifungulia kwa kukosa huduma muhimu yenye gharama ya chini bilioni moja. CCM itatuonesha uwanja wa mpira na kutaka tuwashukuru, lakini sisi tukiwaonesha hospitali ya Temeke wao wanasema "wameanza mchakato wa kutafuta fedha za kupatia ufumbuzi tatizo la wodi ya wazazi"!
well.. vision ya Nyerere is very simple.. maendeleo ni ya watu; kwa upande wa Kikwete maendeleo ni ya vitu. Wakati Nyerere alikuwa anaona maendeleo yanapimwa kwa kuangalia maisha ya watu yanavyobadilishwa na kunufaika na matumizi ya elimu, sayansi na teknolojia Kikwete na wenzake wamefikia mahali pa kuendeleza vitu ili wasema tumeongeza vitu.
Ni kutokana na ukweli huu utaona kuwa wakati Nyerere aliona elimu iwe ni ufunguo wa maisha kwamba mtu akipata elimu imsaidie kubadilisha maisha yake na jamii yake leo hii elimu inachukuliwa kwa ajili yake yenyewe. Hivyo, badala ya kutilia mkazo ubora wa elimu inayotolewa (kama wakati wa Mwalimu), serikali ya CCM chini ya Kikwete inatilia mkazo wingi wa sehemu za elimu. Hivyo, kina Kikwete watajitamba kuwa wameongeza shule, vyuo n.k (kitu ambacho ni kweli) lakini inapokuja swali la ubora wanashindwa kuuoneshea matokeo yake Kikwete, Mahiza na wenzao ati "wanashangazwa na matokeo mabaya ya mitihani". Kiasi kwamba Mahiza amefikia mahali pa kudai kuwa matokeo mabaya ya mitihani hayahusiani na ubora wa elimu inayotolewa!
Ukweli ni kuwa maendeleo mara zote lazima yawe ya watu! Kwa kadiri watu wanavyokuwa huru zaidi, na wakijapatia uwezo zaidi wa kuyamudu mazingira yao na kuyarahisisha hivyo ndivyo unaweza kuona maendeleo yakiwa kazini.
QUOTE]
...mojawapo ya namna ya kujisafishia ULAJI KIUFISADI ni hii hapa....ENDELEZA UJINGA. HUJUMU mbinu za kuwakomboa watu kutokana na UJINGA, UJINGA WA FIKRA na aina yoyote ya UJINGA. Wajaze watu wako ujinga ILA hakikisha katabaka fulani kamekaa sawasawa kielimu. Katabaka ka watoto, marafiki zao na ndugu zao wapate elimu safi, hukooo majuu na kwenye institutions zinazoondoa UJINGA. Hawa watakuwa warithi na wataendeleza kufagilia mikakati ya kuendeleza ujinga hali wao wanatanua.
Mkjj, as usual, I sakute you!
Well be waiting in Tanzania for businessmen who want to benefit from the quota and customs-free trade opportunities my country offers with both the United States and the European Union - JK
Were going to meet with both the president and the prime minister, and were going to sign around four or five agreements. I think that during my visit our relations will see some serious development. And Im very much looking forward to seeing İstanbul - JK
Tanzania is strong in the mining sector. We have gold, cobalt, iron... We have every mineral that exists on earth. Tanzania has every kind of mine, and there are plenty of them. Uranium, gold, diamond, coal, nickel... Everything is here. Mining is an area in which there really is great opportunity - JK
I know Turkey is strong in the textile industry. We produce a lot of cotton, for example, but it needs to be processed. Turkish businesspeople can come and invest in the textile sector here, producing all sorts of textiles. All they need to do is come and prepare products for sale - JK
We have plenty of raw materials, agricultural raw materials...These are among the other areas Turks may be interested in investing in. You can conduct any kind of agriculture in Tanzania. We have the asset of 46 million of hectares of agricultural area, but only 5 million hectares are being utilized now. If we could get at least another 5 million hectares in use, [this would be a major opportunity] - JK
There are big opportunities in the tourism sector. We have great parks and beaches here -- what is required is more hotels and more operating businesses - JK
Source: http://pambazuka.org/en/category/africa_china/62356
watu warudi vipi hiwapo wajamaa wanapinga dual citizenship ni pathetics tuu.Few things to consider, any form of socialism doesn't work. Mwalimu needs a lot of credit though because his version of ujamaa didn't improve maendeleo ya nchi but it definitely enforced amani, upendo, na umoja wa watanzania. Ujamaa wa Urusi was more interested in keeping the power to themselves and controlled means of uchumi as a tool to oppress people rather than to be shared with people. Ujamaa wetu under Mwalimu was truly for the people. Bahati mbaya tu, ujamaa kama mfumo wa serikali have proven to fail. People need right incentives to wake up and work everyday. 70s oil crisis, and Kagera war did create setbacks but themselves aren't sufficient reasons for failure of ujamaa.
During Mwalimu's time, bongo received most aid from China than any African country. Despite of cold war, Mwalimu was able to enjoy good relationship with US--which was unheard off. And that is a testimony of his good leadership.
Kikwete on the other hand, I personally like the fact that he travels and meet different leaders. Global economy is more intertwined than ever. The more bilateral trade agreements you made, the more prosperous is your country. The age of being isolated are over, and Jakaya is making enormous efforts to create a network of different partners that will be appreciated later after he is gone. But he has incredibly big and ineffective goverment, filled with incompetent people (Mustafa Mkullo kwa mfano). And bunge that is spend so much time bickering about Richmond rather than improving elimu, afya, and other ishu muhimu. I think bunge need to raise the level of debate, and that will happen only if young people humu ndani will be willing kutoka kwenye kazi zao nzuri huko ughaibuni na kwenda kugombea ubunge nyumbani.
well.. vision ya Nyerere is very simple.. maendeleo ni ya watu; kwa upande wa Kikwete maendeleo ni ya vitu. Wakati Nyerere alikuwa anaona maendeleo yanapimwa kwa kuangalia maisha ya watu yanavyobadilishwa na kunufaika na matumizi ya elimu, sayansi na teknolojia Kikwete na wenzake wamefikia mahali pa kuendeleza vitu ili wasema tumeongeza vitu......
...Ni kutokana na ukweli huu utaona kuwa wakati Nyerere aliona elimu iwe ni ufunguo wa maisha kwamba mtu akipata elimu imsaidie kubadilisha maisha yake na jamii yake leo hii elimu inachukuliwa kwa ajili yake yenyewe. Hivyo, badala ya kutilia mkazo ubora wa elimu inayotolewa (kama wakati wa Mwalimu), serikali ya CCM chini ya Kikwete inatilia mkazo wingi wa sehemu za elimu. Hivyo, kina Kikwete watajitamba kuwa wameongeza shule, vyuo n.k (kitu ambacho ni kweli) lakini inapokuja swali la ubora wanashindwa kuuoneshea matokeo yake Kikwete, Mahiza na wenzao ati "wanashangazwa na matokeo mabaya ya mitihani". Kiasi kwamba Mahiza amefikia mahali pa kudai kuwa matokeo mabaya ya mitihani hayahusiani na ubora wa elimu inayotolewa!
What a strong masage with deep thought about our problems this old man was thinking in the few years after independence!"And there is in Tanzania a fantastic amount of talk about getting money from outside. Our Government, and different groups of our leaders, never stop thinking about methods of getting finance from abroad. And if we get some money or even if we just get a promise of it, our newspapers, our radio, and our leaders, all advertise the fact in order that every person shall know that salvation is coming, or is on the way. If we receive a gift we announce it, if we receive a loan we announce it, if we get a new factory we announce it and always loudly. In the same way, when we get a promise of a gift, a loan, or a new industry, we make an announcement of the promise. Even when we have merely started discussions with a foreign government or institution for a gift, a loan, or a new industry, we make an announcement even though we do not know the outcome of the discussions. Why do we do all this?" - Arusha Declaration, 1967