kwa watumiaji wakubwa na prefer vodacom wenye bomba 7 na bomba 30 unlimited
lakini kwa hapo vyote ghari kwelikweli wanoitaji window 8 ninayo maelewano na Office 2013 pia ipo maelewano
kwa watumiaji wakubwa na prefer vodacom wenye bomba 7 na bomba 30 unlimited
lakini kwa hapo vyote ghari kwelikweli wanoitaji window 8 ninayo maelewano na Office 2013 pia ipo maelewano
Mkuu, ebu tuacha kuwadanganya watu binafsi nimeshusha window8, Microsoft office 2013 na mambo mengine mengi kwa Sh 200tu, kupitia wajanja night ninazo tayari Mwana jamii yeyote anayetaka ni yeye tu kunipa Flash disk yake au empty DVD nampatia bure. Kama hayo yote yakishindikana namwambia kama una MODEM inayoweza kuconnect Vodacom, basi nenda http://www.kat.ph au http://www.thepiratesbay.se, ukisaidiwa na Torrent basi utazipata bure. Program zote tunazotumia nyingi ni zamagendo hivyo sitarajii kusikia kuwa wewe ni authorized na Microsoft kuuza hizi programs.