Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,692
[emoji40]heradius12: malizia ulichotaka kutwambia!
Ndege za mapangaboi zimeletwa ili kuwahudumia wananchi wanyonge na masikini wa kitaa, wacheni ziwahudumie walalahoi na wadanganyika.Naombeni msaada wenu wanajamvi! Kwa mwonekano wa ndani, kati ya Bus za Dar Lux na Hizi ndege za hapa kazi Tu hivi hipi ni more luxurious.
Swala la speed tuweke pembeni. Naomba tucompare mwonekano wa ndani tu.
Subir kwanza nafanya Research ndyo niongee.heradius12: malizia ulichotaka kutwambia!
Na ujinga zaidi ni pale unapotaka kuwaaminisha Watanzania ndege zote ni sawa.Ujinga ni kudhani ndege Lazima iwe nzuri Zaidi ya bus.
Kumbe! Ungefanya utafiti kwanza, au! Uchochezi!Subir kwanza nafanya Research ndyo niongee.
No Research no Right to Speak.
Ndie Jesika huyo Mkulu alimchukua apande ili aende kuwahadithia wenzake wa UDOM uzuri wa Mapangaboi.Nimempenda huyo cheusi aliyekaa na JPM, ndie wanaemwita Jesca au sio.Maana naona wanafanana
aiseeNdie Jesika huyo Mkulu alimchukua apande ili aende kuwahadithia viilaza wenzake wa UDOM uzuri wa Mapangaboi.
Nini Mkuu umeghairi?aisee
Tatizo segerea iko wazi wazi hapo.Yaani hata mahakamani hupelekwiNini Mkuu umeghairi?
Linatumia muda gani from DSM to Mwanza?View attachment 409423 Shabiby Luxury Coach.
Mleta mada anaulizia comfortability ya ndani sio mwendo,kama ni mwendo Mkulu alisha prove mwenyewe kuwa Bajaji ina mwendokasi kuliko hayo Mapangaboi.Linatumia muda gani from DSM to Mwanza?
Kwangu bado air Magufuli is the best option