Compare and contrast ....

Ukichuza vizuri picha ya mke wa JK, utagundua kama anatetemeka hivi au kama ana kimuhemuhe/kihoro... Yaani hajiamini au haamini kinachotokea...
 
yeah! furaha ni kila kitu katika maisha




Angalia vizuri ushikaji mikono wa "Nchi zinazoendelea....." vs "NCHI ZILIZOENDELEA."..anagalia vizuri tabasamu la mgeni na lile la mwenyeji...NINI KILICHOMO KICHWANI MWA KILA MMOJA??
 
ki ukweli mama salima kapendeza kwa mtazamo wangu mimi Napita kama wapitavyo wenyewe kwenye picha no 1
 
anazuia mali za dunia mama rais wa dunia
 
hehee.. kimtazamo.. picha no. 1 mama salma angevaa min ka mama sasha.. cjui taifa tungekua katka hali gan
 
kuna siku mtaja muangusha mama wa watu na hayo malemba mnayomtishwaga kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…