hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
asante mkuuSawa nimekusikia hearly! [emoji1]
asante mkuuSawa nimekusikia hearly! [emoji1]
Hahahahhebu ona sasa
Lazima wawe jeuri maana wao ndo wanakua moja ya wachangiaji wakubwa kwenye kampeni za Urais (hasa kwa Republican)
Mfano kwa Trump walitoa zaidi ya Dola milioni 20 kuchangia kampeni zake,ndo maana Bwana Trump ana kigugumizi juu yao
Hahahahaaa we ni nomaHahah!, yaani nyie! [emoji23]
Mkuuu hawo ni ndege walukao pamoja huwez kuwatenganishaHahahahahaaaa.
Utafiti wa Beira upo sahihi asilimia zote, ona mlivyoambatana hapa
Ndo hivyo mkuu huwa wanatumia kizungu ili sisi wakolomije tusielewe chochotehahaa umeona !!? na lugha zao za kikristo ilimradi tu watu nyime uhondo tu sis watu wakolomije
UmeonaHahahah
Haitasaidia.guns dont kill people.crazy mufuckas with guns kill people.They want tighter gun control regardless of the fact that its neighbour Mexico has strict gun laws but them mexicanas out there got millitary grade assault weapons killin each other on the regular basis.
Most of them mass shooters are mentally challenged and or have psychological issues.so the problem with america is a psychological one.