Comoro: Shein awekwa Baka Bencha

Aibu sana...Angetakiwa agome.
Agome vp wakati alidanganywa kuwa kule nyuma wamekaa viongozi akaenda kukaa alipofika akawakuta Waarabu Wamiliki wa maduka na mgambo wamejazana nyuma akashindwa kugoma, comoro wanajua kuwa aliingia ikulu kwa uchunguzi haramu ndiyo Maana wamemfanyia hivyo.
 
Le Mutuz acha hizo hao waliokaa huko nyuma wote ni wafanyabiashara wadogo wadogo wa kawaida na wengine ni mgambo, madiwani , walinzi na wafanyakazi wa uwanja.hapo hakuna cha George Bush wala wa George Town ! Wala mswati woote ni watu wa kawaida tu, Tambua kuwa comoro wanajua kuwa Shein kaingilia ikulu ya Zanzibar kwa njia haramu hivyo alistahili kukaa na mgambo kule nyuma.
 
Kuna mgambo alitaka kumsachi Shein lakini akaambiwa huyo mwache hana kitu hapo tulipomweka ni Adhabu tosha maana papo karibu na njia ya kwenda toilet kuna harufu na Usumbufu wa kupisha wapita njia kwenda chooni.
 
Naona mkuu umechagua kuamini ujinga; ni hiari yako na uhuru Kikatiba. Asiyejua maana haambiwi maana.
 



Usidanganye watu ...viongozi walokaribishwa kutoka nje wote wapo safu za chini na viti vyao ni tofauti. Hapa shein kawekwa kwenye viti vya kawaida.

Na pia hao jamaa ni wafanya biashara tu na mabalozi wawili wadogo wa oman na kuwait. Hakuna mwakilishi wa nje. Hao waxungu ni wa makampuni ya magutann
 
Wangempa at sit ya katikati ili bodyguard apate kwa kusimama kuliko kumpa sit Karibu na nguzo
 
Hahahahahahaaaaaa...labda walikuwa wanamtaka maalim seif ndo ahudhurie
 
Haibu sana hii!! Madaraka ya kulazimisha fedhea yake ndiyo hii.
Kama kanyeshewa mvua vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…