Wamefanya hivyo wakijua kuwa huyo katumwa tu Yaani katumwa kama balozi ndiyo maana katupwa kule nyuma kwenye kunguniMh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
watatijua enyewe sisi jaituhusu.
hahaaaa!eti!!kwa Chabo tu! kwani kunatatzo?au toa ushauri maana picha hazieleweki piahuenda walifuata alfabeti za nchi
Mh Rais Shein Leo kwenye Tukio la Kumuapisha rais wa Comoro amejikuta akiwekwa nyuma kabisa sambamba Na Mabalozi pamoja Na Watazamaji.
Sijui Protocol ilisemaje lakini hii Ni Aibu kubwa Kwa Rais wa Zanzibar kuwekewa nafasi hii ambayo haiko rasmi. Kwakua Mkuu wa Nchi imeelezwa kuwa amemuagiza kumuwakilisha ninaamini tutapatiwa maelezo ya Kutosha kwa Haya madhila ili Mara nyingine isiweze kutokea tena.
View attachment 351261
Hapa namuona Rais wangu anaisoma No.
Inasikitisha vipi,wakati..alipora ushindi wa Maalim seif sheriff kwa nguvy..Mimi naona inafurahisha sana.dah mimi nimefurahi mno!!!!!Inasikitisha!!!
Umenifanya nicheke sana!Inasikitisha vipi,wakati..alipora ushindi wa Maalim seif sheriff kwa nguvy..Mimi naona inafurahisha sana.dah mimi nimefurahi mno!!!!!
Mkuu lusungo dah..hii ni aibu ya mwaka...ukiangalia..uchaguzi wa last year hata magamba yalipora ushindi. Haya huko Zanzibar nako wakapora..ushindi tena kwa kutumia nguvu ya jeshi.sijui Magufuli na shein wanajisikiaje. Anyways nawapongeza viongozi wa Comoro kwa kumpiga bench huyo Shein.Umenifanya nicheke sana!