What supprizing you in Commonweath Open University education. If do you think it produces sharow education your not true, but they produce shadow education that cannot solve our problems or call our development, similar to other universities done in Tanzania. That is why our education do not unite and develop as with our national economy instaedy differentiate and suppress our development or ourselves against foregners.
Usiwashangae hao baadhi ya Mawaziri, wote tunatafuta vyeti tu wala si elimu kwa tafsiri na kazi ya elimu kwa jamii au taifa letu. Hatujui asili ya elimu na kazi yake kwetu, hatutenganishi lugha na elimu, huenda ndilo jambo linalowasukuma Mawaziri kujivunia chuo hicho kama unavyosema. Lakini hatupaswi kuwalaumu labda kujihoji na kujiangalia upya kwani tunajenga makoloni ndani ya taifa letu huru, huku tukiiua lugha yetu, utaifa wetu na siku moja kuhatarisha uhuru wetu tukiwasingizia viongozi/serikali. Tukiirudisha dhana ya utoaji elimu bora yenye kutujulisha maana ya elimu na kazi yake kwetu, lugha yetu na mshikamano wetu toka shule za kata hadi vyuo kitaifa, jambo hili linalokukera litakwisha lenyewe, wote tutatafuta utu wetu kwenye asili yetu si za wageni.