Hahah!! Pamoja mkuuWatafute hao kwenye bango hilo....mimi mwajiriwa wa serikali mkuu.
Nikweli wameifata fursa popote ilipo pia wametanua wigo wa biashara yaoHao watu wameona mbali, kwenye waliohamishwa wapo wateja wao wengi tu. Sasa wameamua kuwafuata huko huko pamoja na wateja wapya wa Dodoma.
Na bidhaa zao nyingi ni expiredDom hakuna supermarket ya uhakika,zipo mbili tu tena zote ni mini supermarket,wakija hao itapendeza zaidi!
kwa sasa Dodoma 1.shule za awali(vidudu) azitoshi 2.Shule za msingi English academy azitoshi 3.Dry Clenners azitoshi 4. magereji ya magari ayatoshi 5. saloon za kiume na kike zenye quality services kama vile BM saloon Kinondoni azitoshiNitakutafuta mkuu tuoneshane hizo fursa
Haya changamkieni fursa hizi.kwa sasa Dodoma 1.shule za awali(vidudu) azitoshi 2.Shule za msingi English academy azitoshi 3.Dry Clenners azitoshi 4. magereji ya magari ayatoshi 5. saloon za kiume na kike zenye quality services kama vile BM saloon Kinondoni azitoshi
6.electronic repair centers for cellphone,lcd tv etc zinahitajika 7. computer repairs wanatakiwa 8.mafundi wa AC,etc
waliokuwepo kutokana na watumishi wengia kuhamia huko awatosherezi demand
Shukrani sana mkuukwa sasa Dodoma 1.shule za awali(vidudu) azitoshi 2.Shule za msingi English academy azitoshi 3.Dry Clenners azitoshi 4. magereji ya magari ayatoshi 5. saloon za kiume na kike zenye quality services kama vile BM saloon Kinondoni azitoshi
6.electronic repair centers for cellphone,lcd tv etc zinahitajika 7. computer repairs wanatakiwa 8.mafundi wa AC,etc
waliokuwepo kutokana na watumishi wengia kuhamia huko awatosherezi demand
Fursa za kujiajiri nje nje.kwa sasa Dodoma 1.shule za awali(vidudu) azitoshi 2.Shule za msingi English academy azitoshi 3.Dry Clenners azitoshi 4. magereji ya magari ayatoshi 5. saloon za kiume na kike zenye quality services kama vile BM saloon Kinondoni azitoshi
6.electronic repair centers for cellphone,lcd tv etc zinahitajika 7. computer repairs wanatakiwa 8.mafundi wa AC,etc
waliokuwepo kutokana na watumishi wengia kuhamia huko awatosherezi demand
Huyu ni graduate.kwa sasa Dodoma 1.shule za awali(vidudu) azitoshi 2.Shule za msingi English academy azitoshi 3.Dry Clenners azitoshi 4. magereji ya magari ayatoshi 5. saloon za kiume na kike zenye quality services kama vile BM saloon Kinondoni azitoshi
6.electronic repair centers for cellphone,lcd tv etc zinahitajika 7. computer repairs wanatakiwa 8.mafundi wa AC,etc
waliokuwepo kutokana na watumishi wengia kuhamia huko awatosherezi demand
Sijasoma Tanzania .so dont bother me na Kiswahili.cha muhimu ujumbe umefika. Mwalimu wa madrasaHuyu ni graduate.