Kwenye ile orodha ya Kikwete hayumo kweli?,oooh!!sorry
Ile Lamborghini kanunua mtumba kwa Omary Bakhresa ambayo mwenzake kaendesha wee akaiweka store,,wenzake kina Omary na yule mhindi wa Shivacom wana magari latest tena yakitoka tu lakini hujui wala hawana ushamba wa kichagga kuja kujitangaza.
Mkuu hapo kwenye Buggati Veyron nirudie chenji yangu hakuna hata m1 anayo tena Africa yenyewe sidhani kama zaidi ya Samuel Etoo kuna mwingine anayo.
Ngoja King Kong III anisaidie kujibu hilo swali...ila ndhani atakuwa nalo tu maana jamaa anapenda sana magari
muulize yule chalii aliyekamwatwa kule sijui ndio hongkong au wale kinadada waliokamatwa sauzi kama huyu jamaa yuko kwenye list yao.
hlafu nasikia hawa jamaa kama wakitumaga mizigo ikabuma wanafanyaga manunuzi ya vitu vya thamani kujipoza moyo
sasa kitalolo hao machalii na wakinadada si wako mikononi mwa vyombo vya dola vya inji husika! ntawapataje? nisaidie basi?!?!