Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Jambo na Vijambo wapo vizuri SanaTutafika tu, changamoto wanayokutana nayo wasanii wa category hiyo haitofautiani sana na bongo movie.
Bongo movie nlishaacha kuangalia, tatizo lile lile no ubunifu ile movie ikifika nusu unaweza kupredict mwisho itakuaje pia nying zinafanana maudhui/story...Tutafika tu, changamoto wanayokutana nayo wasanii wa category hiyo haitofautiani sana na bongo movie.
Kumbe ni current, basi ntawafatilia nione.Hawa jamaa wapo vizuri Sana wafuatilia utajuta kabisa kipindi kilikuwa kinarushwa East Africa tv sasa hivi wanarusha Wasafi tv kila siku alhamisi saa 3 usiku au nenda YouTube ya wasafi media utakuta wameweka hasa kesho utaona waneweka teyari.
Jambo na Vijambo wapo vizuri Sana
ni kweli..Huwa nawashangaa sana wasanii wa vichekesho aka comedy.
Wanapokuwa wakiigiza kama wanawake! Hivi huwa wanajisikiaje? Inaamaana hakuna wanawake wanaoweza kumudu uhusika katika scene hizo?
Wanavaa madira, na kuweka makalio bandia na kujichetua kikekike! Khaaaa!
Kama mwanaume nashauri mshike nafasi zenu, kwani kama kipaji kipo kipo tu, tutacheka!
Kumbuka kuchukua tahadhali uwe salama hadi hili janga la COVID-19 lipite na tubaki salama.
Mungu ibariki Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua ana hisa nini pale WCB😀Wewe kila kitu cha WCB, Wasafi na Diamond huwa lazima ukisifu.
Hawa wanajitahidi, na Bwakila na mjomba wake
Itakua ana hisa nini pale WCB😀
Hahahahaa mkuu umenchekesha sana, et kusifu na kuabudu 😂😂Yuko kwenye kitengo cha kusifu na kuabudu mitandaoni cha WCB.
Hahahahaa mkuu umenchekesha sana, et kusifu na kuabudu 😂😂
Hua namuona post zake nying zinahusu pale wasafini, hadi hua nahisi ni mmoja wa wafanyakazi wa pale. Kama sio basi ni shabiki wa damu kabisaIangalie hiyo ID, halafu jaribu kupitia posts zake ndo utaelewa nini ninachomaanisha.
Hua namuona post zake nying zinahusu pale wasafini, hadi hua nahisi ni mmoja wa wafanyakazi wa pale. Kama sio basi ni shabiki wa damu kabisa
Na hua anapambana hasa, humwambii kitu kuhusu wasafi. Kama anapata mkwanja kupitia hyo basi well and good, ila kama ni ushabiki tu daah basi ni hatariLazima kuna namna anavyofaidika na kuipamba WCB humu, maana huwa kuna baadhi ya vitu anapamba ambavyo kwa akili ya kawaida tu unaona huyu siyo.
Na hua anapambana hasa, humwambii kitu kuhusu wasafi. Kama anapata mkwanja kupitia hyo basi well and good, ila kama ni ushabiki tu daah basi ni hatari
Kumbe we jamaa Ni mpuuzi kiasi hichi kwani Jambo na Vijambo vimilikiwa na diamond?Wewe kila kitu cha WCB, Wasafi na Diamond huwa lazima ukisifu.
Kumbe we jamaa Ni mpuuzi kiasi hichi kwani Jambo na Vijambo vimilikiwa na diamond?
Nyinyi mtakuwa mnamatatizo yenu amjui tofauti Kati ya ushabiki na factsItakua ana hisa nini pale WCB😀
Wabongo utawaweza? Hawa hawa ambao mtu akiigiza uhusika wa ubaya (uchawi, roho mbaya n.k.) eti kitaani watu wanaanza kummaindi kiukweli!Mkuu Ngoja nikusaidie. Hiyo inaitwa Parodying. Hata Mr Bean Alishafanya sikumbuki tu ni movie gani na atafanya Tena kama Scene ikimuhitaji kufanya hivyo. Angalia SNL ya marekani Parodying inafanyika Sana. Bongo unaona kila mtu Anafanya parodying ya kike kwa sababu hufuatilii Comedy ya bongo kwa Undani. Umejikita tu na hao kina comedians unaowaona insta.
Sijajua Kwanini mnawaattack Sana wabongo Mfano Joti mnayemuongelea hapa anaweza akaact kama Mzee, Mtoto, Mwanamke au kijana tu wa kawaida. Dulivan ndo kabisa ndo hadi Movie anaigiza parodying kama mtoto. Mbona hamsemagi kuwa duli akili zake zinabadilika zinakuwa za kitoto akiact kama mtoto?
Yaani sielewi mnanung'unika Nini km msanii kachukua kipengele kimoja tu Cha Parodying na kukifanyia kazi ili atimize matakwa ya kifasihi.