Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Mara hii jamani kunani hapa? someone anipe kwa ufupi kinachoendelea hapa
na akija utoe maelezo ya kutosha! usinitaje kabisaaa!!
Sasa si ataona mazungumzo? Yafiche kama vp.
Mara hii jamani kunani hapa? someone anipe kwa ufupi kinachoendelea hapa
hahahaaa! ushaogopa tayari? qudadeki, una utumbo mwepesi ww!
miss neddy njoo umueleweshe huyo akajenge nyumba yake.
hahahahah Honey Faith hakuna kinachoendelea but tulipotezana na king tu
nimeshakuja mkuu.. malikia wangu hawezi kukata roho ilhali nipo mfalme wake... i love you miss neddy..
dont worry ba mkwe... iam still the true lover... i love this queen of mine... i wont let her drop tear again... miss neddy.. iam back my love..