Kama una malengo ya kuwa engineer kasome PGM.coz Ina wigo mpana.
Kama una malengo ya kuwa mtu wa afya/Science kasome PCB..Ina wigo mpana.
Kama una malengo ya KUFANYA kazi zisizotumia akili nyingi
kasome HGL Ina wigo mpana kuliko comb zote za Arts.
Kama una mpango wa kuwa mfanyabiashara
EGM.ni best kuliko hata ECA
General.
Combination Nzuri kwa masomo ya Science Ni
PCB-Ina Wigo Mpana
PGM-Ina Fursa nyingi,kuliko PCM
PCM
CBN
CBG.
Kwa Biashara Ni
EGM- Ina Fursa, endapo ukagoma kusoma biashara mbeleni
ECA
Kwa Arts Ni
-HGL-Ina Fursa nyingi Sana kwa zile course ZENU
-KFL-Ipo on sport haswaa ukizamia tourism
-HGK
-GKL
-HKL
Angalizo,Kama uwezo upo Nenda College