unataka kazi Nzuri kwa jina.kwahy CBG inasoko la ajir kwa sasa
Anasoma ndiyo coz point hapo Ni 9.kwa PCB kama ana DCB anasoma?
.Anasoma ndiyo coz point hapo Ni 9.
kusoma Combination yoyote huwa
wanaanzia
Point 3-10
ukiwa na DCB hapo Ni point 9.upo ndani unasoma Bila Shida.
BT,unaweza kupangwa combination tofauti,lakini ukifika Shule unabadilisha Bila Shida yoyote
Selform Ni mbwembwe TU..
na zile combination choice za mwanafunzi katika selform hawazingatii au vp maana ktk selform kajaza PCB mwanz mwisho
Selform Ni mbwembwe TU.
%kubwa upata kile kilicho kinyume na selform.
na ndiyo maana Kuna nafasi za kubadili combination baada ya kufika Shule.
hapo muhimu Ni kupata Shule ambayo unahitaji combination YAKO iwepo.
I.e unaweza kupangiwa
Milambo CBG na wewe ulitaka kusoma PCB so endapo utafika kule na milambo hiyo PCB IPO Basi unabadilishia shuleni.
lakini ukaenda milambo na PCB husiikute haha Hapo itanidi uhame Shule Yenye PCB au ukomane na CBG.
I.e
Selform huwa hatuzingatii Sanaa,huwa tunampa mwanafunzi chance ya kubadilisha combination akiwa Shule.
Hapo kwenye PGM kuwa na fursa zaidi kuliko PCM naomba ufafanuzi nipate kufunguka zaidi, maana huwa naona ni kinyume chake.Kama una malengo ya kuwa engineer kasome PGM.coz Ina wigo mpana.
Kama una malengo ya kuwa mtu wa afya/Science kasome PCB..Ina wigo mpana.
Kama una malengo ya KUFANYA kazi zisizotumia akili nyingi
kasome HGL Ina wigo mpana kuliko comb zote za Arts.
Kama una mpango wa kuwa mfanyabiashara
EGM.ni best kuliko hata ECA
General.
Combination Nzuri kwa masomo ya Science Ni
PCB-Ina Wigo Mpana
PGM-Ina Fursa nyingi,kuliko PCM
PCM
CBN
CBG.
Kwa Biashara Ni
EGM- Ina Fursa, endapo ukagoma kusoma biashara mbeleni
ECA
Kwa Arts Ni
-HGL-Ina Fursa nyingi Sana kwa zile course ZENU
-KFL-Ipo on sport haswaa ukizamia tourism
-HGK
-GKL
-HKL
Angalizo,Kama uwezo upo Nenda College
Kuna ndugu yangu malengo yake kusoma CBG ana C ya jogi na kemia ,bios B na mathe F kwenye selform kajaza CBG vipi anaweza kuchaguliwa hiyo kombi ?Anasoma ndiyo coz point hapo Ni 9.
kusoma Combination yoyote huwa
wanaanzia
Point 3-10
ukiwa na DCB hapo Ni point 9.upo ndani unasoma Bila Shida.
BT,unaweza kupangwa combination tofauti,lakini ukifika Shule unabadilisha Bila Shida yoyote
Kuna ndugu yangu malengo yake kusoma CBG ana C ya jogi na kemia ,bios B na mathe F kwenye selform kajaza CBG vipi anaweza kuchaguliwa hiyo kombi ?
Anaweza kuchaguliwa,ila akikosa serikalini hata private anasoma tuKuna ndugu yangu malengo yake kusoma CBG ana C ya jogi na kemia ,bios B na mathe F kwenye selform kajaza CBG vipi anaweza kuchaguliwa hiyo kombi ?
Nackia post znatoka trh28
Two ya 19ana divn ipi
Two ya 19
ttc kutoka mtaancjajua lakn nan kwan yaarifa umepata wap
ttc kutoka mtaan