Kwa saivi ajira ni ngumu kwa course nyingi so soma unachokipenda tuNaamini pia ninyi mna utaalamu wa mambo ya ajira ni coz gani ambayo ina possibility kubwa ya kupata ajira?
Mm pia nimexoma hyo comb na ninategemea kwnda kuxomea course ya loustics and transport management nackia inalipa ila wigo wa ajira ndo cjajua imekaajeHabari wakuu?
Niende kwenye mada,
Hivi form six aliyesoma HGE chuo kikuu atasoma coz gani?
Natanguliza shukurani zangu kwenu maana nategemea kupata majibu mazuri.
Ni logisticsMm pia nimexoma hyo comb na ninategemea kwnda kuxomea course ya loustics and transport management nackia inalipa ila wigo wa ajira ndo cjajua imekaaje