MUSA IZADINI
New Member
- Apr 14, 2014
- 3
- 0
PCM mkuu..jamani samahani naomba mnisaidie hivi ukitaka kusomea enginering geology ni comb gani unatakiwa kusomea PCM auPGM?
Mkuu hawa ndio wazee wa miamba, migodini na kwenye mashirika ya viwango..km SGS etc.Halafu kazi unapata wap?
PCM mkuu..
asante
Hapa inategemea unalenga nini? kama heshima vhote viko sawa, kama pesa nadhani PCM utapiga pesa ukichagua vyema course ya kusomea.PCM Inafaa. na mimi naomba msaada wenu nikombi gani inafaa zaidi kati ya PCM&PCB
Hivi kwenye swala la ajira PCM si inabidi kujitafutia mwenyew ama nimekosea?? Ama kuajiliw inategemea makampuni binafs ama serikalinHapa inategemea unalenga nini? kama heshima vhote viko sawa, kama pesa nadhani PCM utapiga pesa ukichagua vyema course ya kusomea.
Jamani nachukua PCM ila naomb mnisaidie ili niipende zaid ni corse gani nikisomea ninaweza kupata mshiko mrefu kuliko combination Ya PCB?
teh teh teh tehHalafu kazi unapata wap?
Ni PCM bt hyoo physics uc ingie kchwa kchwa utakimbia c mchezoo................kaza butJamani samahani naomba mnisaidie hivi ukitaka kusomea enginering geology ni comb gani unatakiwa kusomea PCM auPGM?