combi gani achague

Ndara Mbovu

Senior Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
155
Reaction score
83
Ninamdogo wangu maendeleo yake kimasomo ni mazuri mana form 2 ,alipata alama A katika masomo yake yote, sasa anaingia Form 4.
Achague comb gani itakayo mpa nafasi ya kusoma coz ambayo zinasoko kwenye ajira na kujiajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huu uchumi unao yumba yumba mwambie asije toka nje ya hizi kombi...

Kama anapenda sayansi asome..

1. PCB
2. PCM
3. PGM
3. EGM

NB: for future hizo kombi nne hapo juu ndio zina dominate hapa tz!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…