kabwinyola
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 560
- 682
Habari, katika kufanya tafit mbali mbali nimebase katika kanda kadhaa hapa africa
Kaskazini,
Magharibi,
Kusini
Mashariki,
Nimegundua ukanda unaokuwa na viongozi imara ndio unaonufaika,
Maendeleo ya ukanda wa kaskazini yalichagizwa na rais, wa Libya, Tunisia, Algeria, na Misri ambao walikuwa marais imara katika ukanda uo na walishirikiana haswa kuleta umoja katika maendeleo,
Nikachunguza kwa wakati huu ukanda pekee uliobaki na viongizi imara japo asilimia 70 wanashutumiwa kuwa watawala wababe, lakin AFRIKA YA MASHARIKI kunaonekana kuwa na maraisi imara kuliko kanda zote zilizo baki, uimara wao umeangaliwa hivi
1. Kutoyumbishwa kwa wanayoyaamua juu ya maendeleo na waliyoyapanga,
2. Wanachukia rushwa na wana dhamira ya dhati kwa ilo.
3. Sheria weka pembeni na katiba lakin hakikisha kwanza tumetimiza lengo husika.
4. Wachapakazi wenye proven records,
Na katika ukanda wa Africa mashariki hawa wameonekana kuwa imara
1.Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, anaitwa bulldozer, kazi yake haina mfano, hajaribiwi na hataki kukwamishwa kwenye kuleta maendeleo, mchukia rushwa na mchapakazi haswa,
2.Rais wa Rwanda , Paul Kagame, enkoitani, yaani huyu ni mzee wa kazi tokea amekaa Rwanda kama kiongozi kairejesha katika msitari imara na ameleta maendeleo na aman nchini humo,
3.Rais wa Kenya , Uhuru Kenyatta, ni kijana mchapa kazi ambaye hayumbishwi na mataifa ya nje wala wapinzani wake katika maendeleo ana msimamo mkali na imara,
4. Rais wa Uganda ,Yoweri Kaguta Museven, wazungu na wababaishaji wana mtambua dhamira yake ya kweli katika kuleta maendeleo , na ni mchapa Kazi kaiimarisha Uganda mpaka ilipo kwa kutumia juhudi binafsi na maarifa,
Miaka 25 ijayo nauona ukanda wa Africa mashariki ukiimarika zaidi kimaendeleo kuliko sasa,
Kinachohitajika ushirikiano, uwajibikaji, uwazi, democrasia yenye tija kwa wananchi siyo democrasia holela, na ubunifu katika technology,
Mungu ibariki Africa, Mungu Ibariki Africa mashariki,