Cymon Taylor
JF-Expert Member
- Apr 3, 2019
- 1,761
- 3,445
Ningeshtuka nisingeiona MCHIZI WANGU remixKwema wakuu.
Kwenye mada. Kwa wale wapenzi wa burudani hasa music wa hapa home sweet home (bongo flavor) wa kizazi cha kati na cha sasa, utakubaliana na mimi kwamba katika collabo zilizowahi kutokea na kusumbua bongo kila kona, katika nyingi zikitajwa basi hizi haziwezi kukosa kwenye list :-
1. Dhahabu ya Dully ft Blue & joslin
2. Nilikataa ya Top band ft blue
3. Number one remix ya Diamond ft Davido
4. Muziki gani ya Ney ft Diamond
5. Kimya kimya ya jay moe ft Ngwea
6. Hawatuwezi ya N2N ft Enika
7. Nitoke vipi ya Misosi ft Hardmad
9. Mchizi wangu remix ya N2N ft all stars
10. Namba 8 ya Daz baba ft Fid q
11. Starehe ya Feroos ft prof jay
12. Nikusaidiaje ya jay ft feroos
13. Wife ya daz baba ft Ngwea
14. Latifa ya mb dogg ft madee
15. Tabasamu ya blue ft q chilla
16. Dar es salaam stand up chiz Benz ft Ditto
17. Maisha na muziki ya Darasa ft Ben Pol
18. Inamana ya mb dogg ft madee
19. Nipeni dili ya Ngwea ft Dark master
20. Tax bubu ya Matonya ft fid q
Orodha ni ndefu, zingine utaongezea. Ila hizo ngoma zilisumbua sana wakati wake.
NB: Njiti moja ya kiberiti inaweza kuchoma msitu wa Amazon.
Naomba kuwasilisha. I'm out
Ndo maana nikasema zingine utaongeza mkuuKwahiyo kwaya hamna hivi utafika mbinguni wewe..??[emoji23]
21. Nipe ripoti - Spark & Tunda manKwema wakuu.
Kwenye mada. Kwa wale wapenzi wa burudani hasa music wa hapa home sweet home (bongo flavor) wa kizazi cha kati na cha sasa, utakubaliana na mimi kwamba katika collabo zilizowahi kutokea na kusumbua bongo kila kona, katika nyingi zikitajwa basi hizi haziwezi kukosa kwenye list :-
1. Dhahabu ya Dully ft Blue & joslin
2. Nilikataa ya Top band ft blue
3. Number one remix ya Diamond ft Davido
4. Muziki gani ya Ney ft Diamond
5. Kimya kimya ya jay moe ft Ngwea
6. Hawatuwezi ya N2N ft Enika
7. Nitoke vipi ya Misosi ft Hardmad
9. Mchizi wangu remix ya N2N ft all stars
10. Namba 8 ya Daz baba ft Fid q
11. Starehe ya Feroos ft prof jay
12. Nikusaidiaje ya jay ft feroos
13. Wife ya daz baba ft Ngwea
14. Latifa ya mb dogg ft madee
15. Tabasamu ya blue ft q chilla
16. Dar es salaam stand up chiz Benz ft Ditto
17. Maisha na muziki ya Darasa ft Ben Pol
18. Inamana ya mb dogg ft madee
19. Nipeni dili ya Ngwea ft Dark master
20. Tax bubu ya Matonya ft fid q
Orodha ni ndefu, zingine utaongezea. Ila hizo ngoma zilisumbua sana wakati wake.
NB: Njiti moja ya kiberiti inaweza kuchoma msitu wa Amazon.
Naomba kuwasilisha. I'm out
Ilikuwa national anthemStarehe ya Feruzi ilikuwa inapigwa kila siku Kwenye tv enzi hizo,
Ndo maana nikasema zingine utaongeza mkuuKwenye hiyo list kama hamna ganja language by harmonize hiyo list ya mchongo
Nakubali
Nakubali [emoji106]Wanok nok...man dojo na domokaya ft lady jaydee
Action by cpwaa ft ngwair dully
Mtazamo by Afande sele ft prof n solo thang
Zali la mentali by prof jzee n juma nature
Aisee wabongo! [emoji113]. Kweli njiti moja ya kiberiti inaweza kuchoma msitu mzima.Nadhani huelewi maana ya collaboration,kichwa cha habari unaongelea collabo alafu kwenye maelezo unatutajia featuring!